Hivi ni dawa gani inayoweza kumuwezesha mtu kua Mnene?

Nipe hizo ingredients zake na inachukua muda gani kumfanya mtu awe mnene sio kibonge?
Hizo wiki mbili nyingi utaona matokeo

Mimi huwa naweka ndizi, korosho, tende, almonds, karanga/peanut, maziwa na kipande cha nazi kama kipo nablend nakunywa!
180A3E95-0791-40B3-9632-2624A609D0DB.jpeg
 
Asubuhi Anza na chai ya maziwa na chapati za kushiba

Mchana pata wali nyama au ugali nyama apa naongelea Ile nyama choma wengine huita foil ukipata pia samaki mkubwa sio mbaya

Usiku unaweza pata mkate na nyama mchemsho au supu na ndizi ukashushia na bia mbili

Bila kusahau kupata muda wa kutosha kupumzika /kulala na uwe stress free

Kila la heri tajiri
 
Sizungumzii unene ule wa kwenda kuambiwa unaugua presha kisukari mixer tezi dume, la hasha kuna unene wa kawaida

Sababu ya kuuliza hivyo ni kutokana na visa mbalimbali ninavyokutana navyo mfano;

Kuna dogo fulani nilimtembelea kwao miaka ya nyuma kidogo nakumbuka alikua mnene wa kawaida sio yule mtu mwenye mwili mkubwa hapana ila ule unene wa afya, akaja akaugua sana kipindi fulani akakonda balaa yaan ule mwili wote ukapukutika akawa mwembamba haswa akaja akapona baada ya kupona kikapita kipindi fulani km miezi 6 hivi nikaja kuonana nae tena dogo kanenepa kafula halafu kaenda hewani na mwili fulani hivi km wale wanaosimama kwenye milango kuangalia usalama, nikajiuliza huyu ametumia nini? Kwanini mwili wake umebadirika hivi ndani ya muda mfupi lazima kuna dawa ametumia kuumua mwili

Kitu ambacho mimi naona kwa binadamu wa kawaida haiwezekani mtu kua hivyo kubadirika ndani ya muda mfupi lazima tu kuna kitu anakitumia ila wengi hua hawasemi nimetumia kitu fulani ndio nikawa hivi

Sasa mimi nataka kwa anaefahamu atuambie ni dawa ipi inaweza kuufanya mwili ukawa mnene ndani ya muda mfupi?
Kula ma supplements baada ya muda mchache uache kwenda mnara then cardio vascular complications ufe gafla ukiwa mwenye afya tele
 
Sizungumzii unene ule wa kwenda kuambiwa unaugua presha kisukari mixer tezi dume, la hasha kuna unene wa kawaida

Sababu ya kuuliza hivyo ni kutokana na visa mbalimbali ninavyokutana navyo mfano;

Kuna dogo fulani nilimtembelea kwao miaka ya nyuma kidogo nakumbuka alikua mnene wa kawaida sio yule mtu mwenye mwili mkubwa hapana ila ule unene wa afya, akaja akaugua sana kipindi fulani akakonda balaa yaan ule mwili wote ukapukutika akawa mwembamba haswa akaja akapona baada ya kupona kikapita kipindi fulani km miezi 6 hivi nikaja kuonana nae tena dogo kanenepa kafula halafu kaenda hewani na mwili fulani hivi km wale wanaosimama kwenye milango kuangalia usalama, nikajiuliza huyu ametumia nini? Kwanini mwili wake umebadirika hivi ndani ya muda mfupi lazima kuna dawa ametumia kuumua mwili

Kitu ambacho mimi naona kwa binadamu wa kawaida haiwezekani mtu kua hivyo kubadirika ndani ya muda mfupi lazima tu kuna kitu anakitumia ila wengi hua hawasemi nimetumia kitu fulani ndio nikawa hivi

Sasa mimi nataka kwa anaefahamu atuambie ni dawa ipi inaweza kuufanya mwili ukawa mnene ndani ya muda mfupi?
Kiuhalisia hakuna 'dawa salama' ya kunenepesha zaidi ya 'tiba lishe'.

Unaowaona wakinenepa ghafla, nawe ukadhani wana afya unajidanganya pakubwa, unene wa ghafla una viashiria vingi sana vya 'utapia siha'.

Ukitaka kunenepa kwa muda mfupi, kuna wadau hapo juu wameshakwambia 'kula' ndiyo dawa ya kunenepa haraka.

Vyakula vya wanga na sukari ndivyo vinanenepesha haraka sana, unashauriwa kufakamia mi chips kuku, viazi vitamu, chai ya maziwa, maziwa menyewe nk, huchukui muda kututumka.

Wakati ukifanya hayo ya kula vinono, usizembee kupima kisukari pamoja na presha mara kwa mara.
 
Uwe na pesa na kisha uoe mke asiye na kelele, anayejua kupika. Baada ya hapo uridhike tu.

Utauona mwili ukija kwa kasi. ...Mfano mzuri ni Mchekeshaji Leonardo baada ya kupata totoz Lucy kibonge inayojua kupika madikodiko...sasa hv kakitambi kanakuja
 
Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu.

Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu.

Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu kua Mnene simaanishi kua awe kibonge ila awe mnene yaan na mwili ulionenepa ni ipi?

Nakumbuka miaka fulani nyuma nilienda likizo kutoka Dar kwenda Mkoa X. Nilikaa muda wa miezi 4 tu. Niliporudi niliambiwa nimenenepa sana lakini mimi nikijiangalia nilikua najiona wa kawaida tu yaan nipo vile vile. Vyakula nilivyokua nakula ni vya kawaida sikuwahi kula kitimoto na nilikua sili kabisa maana situmii.

Sasa ninawauliza nyinyi wakuu, hivi ni dawa ipi inamuwezesha mtu kua mnene ndani ya muda mfupi?

Hili swali limenijia kwa sababu fulani fulani,

sababu moja wapo ni kwamba kuna dada mmoja nilikua namuonaga ana mwili wa kawaida tu kembamba kawaida mara ghafla akawa kibonge yaan ile siwezi sema mnene ile ni kibonge minyama uzeembe mpaka tumbo linataka kufika kwenye magoti ya miguu.

Ikaenda enda mara ghafla nikawa simuoni tena then kikapita kipindi fulani sio kirefu sana nilipokuja kuonana nae tena nilishangaa kumuona kawa mwembamba yaan kapungua.

Ule mtumbo tumbo aliokua nao haupo tena hata ukionyeshwa picha ya before and after utashangaa na unaweza ukamuuliza umetumia nini?.

Tufupishe simulizi, leo mimi nataka kuifahamu dawa inayoweza kumfanya mtu awe mnene sio kibonge. Usiniambie Gym maana Gym nimepiga sana na matokeo niliyaona.

Nataka kujua dawa ya kuufanya mwili kua mnene ndani ya muda mfupi.

Nifahamisheni, hawa watu hua wanatumia dawa gani kuinenepesha miili na kuikondesha miili ndani ya muda mfupi?

Mods, huu uzi ubakie huku msipeleke kule kwenye Afya, sio issue ya afya hii.
Acha roho mbaya
 
HUELEWEKI halafu ni kama tayari una majibu yako kwa jinsi unavyojibu comments za watu.
 
Kataa unene, unene sio dili, unene ni mateso, unene ni adhabu, jikubali jinsi ulivyo, hata kama ni mwembamba kama fido dido.
 
Shida inakuja hapo nilipoweka bold maana yake mwili ili unenepe unatakiwa usifanye kazi uwe umepumzika tu si ndio?

Sasa huo muda mimi ndio sina maana muda mwingi napiga kazi muda wa kukaa bure sina nalala saa 7 naamka saa 8 ni mwendo wa kazi tu bila kupumzika
Asee hakuna shortcut yakunenepa yan mtu huna muda wakula vizuri, huna muda wakupumzika afu eti unataka unenepe labda uchomwe sindano za upepo mwil ujae hewa
 
Uwe na pesa na kisha uoe mke asiye na kelele, anayejua kupika. Baada ya hapo uridhike tu.

Utauona mwili ukija kwa kasi. ...Mfano mzuri ni Mchekeshaji Leonardo baada ya kupata totoz Lucy kibonge inayojua kupika madikodiko...sasa hv kakitambi kanakuja
Hii formula nzuri. Na vipi kwa mwanamke akiutaka unene?
 
Back
Top Bottom