Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .

Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibugia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI.

Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama Azithromyicin almaarufu kama AZUMA kuwa ni dawa za kutibu bacteria wa UTI🤔

Ngoja wajuzi wa mambo waje🍺
 
Shida sio watumiaji shida ni watoaji.ndio inapelekea watumiaji wakariri

Kama hunielewi Nenda Leo ukimkuta pharmacy mtu aliepimwa mkojo akajutwa na UTI angalia dawa anazopewa.lazima waweke azuma.na watu wakimeza baadhi wanapona
Lakini azuma sio antibiotics Kwa ajili ya hiyo shida Bali ya mfumo wa upumuaji
Dawa ya UTI ni ciproflaxacin kama nimepatia
 
Huko famasi kwanini wakae vilaza?
 
Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .

Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibukia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI.

Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama Azithromyicin almaarufu kama AZUMA kuwa ni dawa za kutibu bacteria wa UTI🤔

Ngoja wajuzi wa mambo waje🍺
Manesi , ma clinical officer na ma assistant medical officers, na madaktari wajinga wajinga.
 
Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .

Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibukia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI.

Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama Azithromyicin almaarufu kama AZUMA kuwa ni dawa za kutibu bacteria wa UTI🤔

Ngoja wajuzi wa mambo waje🍺
Kikawaida na kitafiti, Arithromycin (500mg) si tiba sahihi kwa U.T.I., ni makosa ya kitabibu .
Kiwango chake ni kidogo kwenye mkojo na hakitoshi kumuua Escherichia coli, aina ya gram negative bacteria.
 
Back
Top Bottom