Huyu derevea yupo sawa kweli? Kwanini amehatarisha maisha yake na wenzake hivi?

Huyu derevea yupo sawa kweli? Kwanini amehatarisha maisha yake na wenzake hivi?

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,490
Reaction score
138,365
Nimetumiwa hii clip ikazidi
Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa
Ujuaji mwingi !
Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo!
Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo inatereza huwezi ona watu wakitumia vyombo vya moto ovyo
Ila kwa Tanzania madereva ujuaji mwingi
Ngoja nisindikize uzi na kkideo, sasa mtu kama huyu mtasema mungu alimpenda zaidi

Ova
Mshana Jr
Kiranga
King Kong III
View attachment 3558099
 
Wametokea wapi hao waandishi wa kutishwa? Tujuavyo siku hizi hakuna waandishi ila kuna machawa wengi, walambishwa bahasha, njaa kali
 
kama angefanikisha kuvuka hapo mngemsema? si mngemsifia kwa miyowe

hapo tuseme ni ajali kazini na kama wamefariki basi wakapumzike kwa amani siku yao ilikua imefika
 
kama angefanikisha kuvuka hapo mngemsema? si mngemsifia kwa miyowe

hapo tuseme ni ajali kazini na kama wamefariki basi wakapumzike kwa amani siku yao ilikua imefika
Mungu anatutaka tuchukue tahadhari na wala tusijiue,ndio maana hata kwasisi waislamu hata kama unaswali na unaona kuna hatar basi acha kuswali na chukua tahadhari

Huo ni uzembe na ujinga mkubwa sana,hapo hajapanga Mungu ni makosa ya maamuzi yao
 
Hivi watanzania au waafrika huwa tunawazaga nini?

Yeye aliona gari lake kubwa na huenda lina mzigo litakuwa zito kutosombwa na maji
Kama unajua ''sayansi'' iliyo nyuma ya ''kwanini gari linasombwa na maji'' huwezi kufanya ujinga kama huu. Watu wengi hudhani ukubwa au uzito wa gari utakuwa kinga ya kusombwa kwenye maji. Na mvua zinapokuwa kubwa ni lazima kuna gari itasombwa kwa ukaidi wa dereva kudharau nguvu ya maji. Watu husema katu usidharau nguvu ya maji hata kama unaona siyo mengi.
 
Kideo hiki kizuri kutoa elimu kwa madereva wengine.. Serikali kitengo husika ndio waitumie.. Tabu wanaona hawafanyi lolote nikiamini lazima wana bajeti ya haya..

Sio kila mtu anafahamu nguvu ya maji, pia yeye dereva hakushtuka alipoanza tu lilianza kwenda kusiko.. Presha ya kazi, bosi (now hasara.. If ikitolewa matengenezo.. Dereva misifa kama wa TZ wengi mtaani kuendesha kisifa na unaona hawajui kujua ya uendeshaji.. Na mengineyo.

Natumaini alijua kuepuka kumezwa kwa maji ya hivyo au alipona. Hakuna ajuaye muda wake kuondoka
 
Huyo dereva hamnazo. Tajiri anajinyima, ananunua gari, anamuajiri derevq na kumkabidhi gari, halafu anaenda kuliangusha kijinga kama hivyo, jamaa akimpiga shaba tutamlaumu?

Vv

Inasikitisha
Dereva pia nini haswa asipaki na kumwambia tajiri safari imekwama kwa sababu hii na ile..

Presha ya kazi.. Waajiri wengi nao hawajui kuwa mabosi wao pesa mbele..

Hili funzo fulani jinsi ya kuaekaje watu tunaowaajiri.. Kizaidi na zaidi..

Hakuna kitu kama mtu akiona kitu hatari asisitishe kazi
 
Nimetumiwa hii clip ikazidi
Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa
Ujuaji mwingi !
Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo!
Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo inatereza huwezi ona watu wakitumia vyombo vya moto ovyo
Ila kwa Tanzania madereva ujuaji mwingi
Ngoja nisindikize uzi na kkideo, sasa mtu kama huyu mtasema mungu alimpenda zaidi

Ova
Mshana Jr
Kiranga
King Kong III
View attachment 3558099
View attachment 3558107
Hiki kinaitwa kifo cha kujitakia . maiti yake inapaswa kula viboko huko mochwari
 
Ni kiashiria kuwa Dunia ya sasa haina muda na upumbavu

Unakufa Baada ya watu kukusaidia wao wanatafuta Viewer
 
Madereva wa haya malori ya mchanga/sokoto ni wapuuzi sana. Wanahatarisha sana maisha yao na watumiaji wengine wa barabara. Kama unaishi nje ya mji utanielewa kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom