Huyu derevea yupo sawa kweli? Kwanini amehatarisha maisha yake na wenzake hivi?

Nimetumiwa hii clip ikazidi
Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa
Ujuaji mwingi !
Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo!
Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo inatereza huwezi ona watu wakitumia vyombo vya moto ovyo
Ila kwa Tanzania madereva ujuaji mwingi
Ngoja nisindikize uzi na kkideo, sasa mtu kama huyu mtasema mungu alimpenda zaidi

Ova
Mshana Jr
Kiranga
King Kong III
View attachment 3558099
View attachment 3558107
Anajikuta paul walker
 
Hii imetokea sana na sometimes abiria wenyewe ndio huwa wanamwaminisha dereva,ni uchizi mkubwa
 
Nimetumiwa hii clip ikazidi
Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa
Ujuaji mwingi !
Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo!
Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo inatereza huwezi ona watu wakitumia vyombo vya moto ovyo
Ila kwa Tanzania madereva ujuaji mwingi
Ngoja nisindikize uzi na kkideo, sasa mtu kama huyu mtasema mungu alimpenda zaidi

Ova
Mshana Jr
Kiranga
King Kong III
View attachment 3558099
View attachment 3558107
Tatizo watu wabishi sana ,na alivyoona imebeba mzigo mzito akajua kwamba itaenda vizuri ,watu hawajifunzi tu.
 
Back
Top Bottom