Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi.
Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya vitu kama chama wamekubaliana kwenye ilani hivyo huwezi kupinga tena bungeni
Ametoa kauli hiyo leo Aprili 13, 2026, jijini Dodoma akifanya mahojiano na waandishi wa habari nje ya Bunge