Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
umetaja Egypt nikakumbuka kuwa kuna Nchi za Africa hasa kaskazini watu ambao ni wajuaji ILA hawaja wahi kukanyaga Nje ya Tanzania wanazichukulia poa....Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
Nani aliomba cease fire ya ile vita? Kuna mahali popote Iran alisurrender?Huo ndo ukweli.
Kuna wakati zile B-2 Bombers zilienda kusambaratisha mradi wa nukes wa Iran, Ayatollah akahamishia makazi ndani ya shimoni kukwepa kuwahishwa kwa bikra 72 kama majenerali wake, afu unashangaa mtu anabana pua kwamba Iran itachakaza US !!
Wewe mbulula umeongea utumbo tu humu kama kawaidaUkweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
Kwanini marekani wanataka irani iachane na program zake za makombola?Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
Ujinga mtupu unatumia NENO ceasefire kujifariji na kujipa moyo kuficha kuuliwa kwa mafias waandamizi katika Jeshi la Iran, waliuwawa kama kuku akiwemo Mkuu wa Majeshi hilo wewe hulioni kuwa linadhibitisha u hovyo wa Jeshi la Iran.Nani aliomba cease fire ya ile vita? Kuna mahali popote Iran alisurrender?
Acha kujitoa ufahamu na kuanza kuwadanganya wafuga midevu na majini wenzako hizo silaha walipewa Taleban na Marekani watumie!!Wewe mbulula umeongea utumbo tu humu kama kawaida
Vita ya kishoga ya dondosha mabomu, unadhani vita inapiganwa kipunga punga
Wavietnamu waliingia underground kwenye rat tunnell ndani msitu mnene, hakuna cha satellite wala kamera za ndege ziliona, alivyoingia ground alikula kibano mna kufungasha virago.
View attachment 3541299
Kaenda Afghanistani uwanja mweupe, hakuna miti wala mapori, alikuw anawindwa usiku usiku mpaka akafunga virago na kuzikimbia silaha zake silaha zake zinazokufanya unaloa na kumuona basha wako mpendwa
Hizi zote kazikimbia, Talebani kajichukulia kiulani
View attachment 3541295
View attachment 3541296
View attachment 3541298
Wamekua wana wa israel 😁😁😁😁..ingekuwa ni East Africa wangeweza kusafiri hadi asubuhi
Hawatakuelewa vipedo. Ngoja wajeUkweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
Hahaha sicheki kwa mazuriingekuwa ni East Africa wangeweza kusafiri hadi asubuhi...
Iran toka 1979 imekuwa na nia ovu ya kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia na mawao hayo mabaya wamekuwa wakiyasema hadharani na bila kificho na walikuwa wakitamba sana.Kwanini marekani wanataka irani iachane na program zake za makombola?
Irani ilishapigika ikawa inakimbia kama mbwa kicha ikipiga piga mabomu bila mpangilio. Wenzao walikula vichwa vya viongozi wao kama wamama wanavyoondoa vichwa vya dagaa wa mwanza. Na kwenda kulipua maeneo yaliyokuwa na vinu vya kinyuklia.Nani aliomba cease fire ya ile vita? Kuna mahali popote Iran alisurrender?
Ujinga mtupu unatumia NENO ceasefire kujifariji na kujipa moyo kuficha kuuliwa kwa mafias waandamizi katika Jeshi la Iran, waliuwawa kama kuku akiwemo Mkuu wa Majeshi hilo wewe hulioni kuwa linadhibitisha u hovyo wa Jeshi la Iran.
Angalia hapa chini uone mizoga ya makamanda wa Iran waliouwawa kama kuku na majeshi hodari ya Israel na katika vita hiyo ya siku 12 zaidi ya wairan 1,000 waliuwawa na hakuna askari hata mmoja wa Israel aliyeuwawa hayo yote wewe Bumunda huyaoni!!!
Unaonyesha akili zako ni sawa na za Wafuga Midevu na Majini!! Marekani imekaa Afghanstan kimkakati si kuwa miaka yote zaidi ya 20 ilikuwa inapigana!!Ukubwa wa jeshi na wingi wa zana siyo kushinda vita! Ni uhodari na ujasiri wa askari.
NATO ikiongozwa na US imepigana na Afghanstan miaka 21 mwisho ikaamua kukimbia.
US ilikimbia Vietnam miaka ile ya 70!
Iran bado ni imara,kama ingekuwa dhaifu tayari Ayatollah angekuwa ameshakimbia.
Jibu swali, Iran aliomba cease fire?Irani ilishapigika ikawa inakimbia kama mbwa kicha ikipiga piga mabomu bila mpangilio. Wenzao walikula vichwa vya viongozi wao kama wamama wanavyoondoa vichwa vya dagaa wa mwanza. Na kwenda kulipua maeneo yaliyokuwa na vinu vya kinyuklia.
Iran alishindwa kwa aibu. Nimejaribu sana kumtetea Irani lakini nimeishia kupata aibu. Wale mademu wa Kizayuni wameingia Irani na kwenda piga kama wanavyoingia washroom na kutoka.
Nashangaa nimeku ignore ila kuna jitu limenitag kwa nyuzi zako!!Iran toka 1979 imekuwa na nia ovu ya kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia na mawao hayo mabaya wamekuwa wakiyasema hadharani na bila kificho na walikuwa wakitamba sana.
Kwa hali hiyo Iran ikawa imekosa sifa za kuwa na sifa ya kuwa na silaha za masafa marefu au Nuclear maana ana nia ovu!!
Eti imekosa sifa? Anayetoa hizo sifa ni nani? Mbona North Korea inatishia kuifuta sio tu South Korea ila kurusha kombora mpaka marekani vipi hawajakosa sifa hadi leo wanazalisha na hawajavamiwa??Kwa hali hiyo Iran ikawa imekosa sifa za kuwa na sifa ya kuwa na silaha za masafa marefu au Nuclear maana ana nia ovu