Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Ngoja mimi wa darasa la saba nikupe shule kwenye taarifa hiyo wamesema:
Pakistan imesema kwamba ingawa iko tayari kuchangia katika kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu huko Gaza, "haiko tayari" kuwapokonya silaha kundi la upinzani la Palestina Hamas. sasa hapo wewe umeelewaje? Acha ujinga wao watashiriki kupeleka askari tu lakini katika kuwapokonya silaha magaidi hawawezi!! Kwani hapo watazuia nini magaidi wa Hamas watake wastage lazima wapokonywe silaha!!
Hahahha angalau leo umetafsiri kwa Chat gpt hongera sana. Yes maana yake wamekataa kushiriki kupambana na Hamas wamesema hiyo ni kazi ya Mamlaka za palestina na sio mwingine hata Israel wameambiwa wasihusike.

Cha ajabu hao wanaounga mkono Hamas wanaruhusiwa kuunda nuclear ila Iran inakataliwa kisa eti kufadhili ugaidi. Hivi umesahau Pakistan ndio ilikua inamfuga Osama Bin Laden hadi kuja "kuuwawa" na USA?

Soma hapa gazeti la Times of Israel likieleza msaada wa silaha na mazoezi ambao Pakistan imekua ikitoa kwa Hamas na makundi mengine huko Gaza!!
https://blogs.timesofisrael.com/the-dangerous-game-between-hamas-and-pakistan/

Je una maoni gani kwa Pakistan kuruhusiwa kumiliki nuclear ilihali wanafadhili magaidi!!
 
Kuoa vitoto vidongo hilo hulioni maana dini yako inakuruhusu?
Mabinti wa kiafrika wameenda kufanya kazi uarabuni wao wamewageuza kisusio wanawabaka,Wanawafira na wengine kuuwawa hayo yote huyaoni?
Sasa tofauti iko wapi kama watoto wa Mungu wanalawiti kama watoto wa shetani? Kumbe ni yaleyale sasa uteule wao uko wapi?

Kwamba ni halali kulawiti kisa jirani kalawiti hahhaha we jamaa kweli kil.aza
 
Siyo limetupwa limeuzwa kwa wanywa pombe na wacheza kamari ambao hata si waislam.

Usidanganye watu kuwa huwa yanatupwa!!
Yanauzwa na hao wanaopewa tender ya kuyaleta kila mwaka. Sasa yakishatolewa yana thamani gani tena kidini? Ni carpet tu kama mengine linakua na thamani linapokua linatumika ila likishatolewa ni useless kiimani.
 
Ukubwa wa jeshi na wingi wa zana siyo kushinda vita! Ni uhodari na ujasiri wa askari.
NATO ikiongozwa na US imepigana na Afghanstan miaka 21 mwisho ikaamua kukimbia.
US ilikimbia Vietnam miaka ile ya 70!
Iran bado ni imara,kama ingekuwa dhaifu tayari Ayatollah angekuwa ameshakimbia.
Hakuna mahali usa kakimbia,huwezi kuendelea kutumia resources zako mahali ambapo huna maslahi napo na hakuna threat tena.

Hicho ndio kilichotokea..sasa nenda kaziambie hizo nchi zihatalishe maslah ya usa kama hujaanza kuja na uzi wa pray for.
 
Ujinga mtupu unatumia NENO ceasefire kujifariji na kujipa moyo kuficha kuuliwa kwa mafias waandamizi katika Jeshi la Iran, waliuwawa kama kuku akiwemo Mkuu wa Majeshi hilo wewe hulioni kuwa linadhibitisha u hovyo wa Jeshi la Iran.

Angalia hapa chini uone mizoga ya makamanda wa Iran waliouwawa kama kuku na majeshi hodari ya Israel na katika vita hiyo ya siku 12 zaidi ya wairan 1,000 waliuwawa na hakuna askari hata mmoja wa Israel aliyeuwawa hayo yote wewe Bumunda huyaoni!!!
Hawa wapuuzi hata akili hawana,hakuna nchi yoyote duniani kwa sasa inayuweza pambana na usa.

Nivile tu usa hapigani vita za kisengekisenge.

Picha linaanza hakuna mpuuzi yeyeote aliyeogeza wala pua yake karibu na ardhi ya usa,ila usa kazunguka nchi zote wapuuzi tayari kwa vita wakati wowte.
 
Kama Iran anaiga Kunya kwa Tembo basi Acha sasa Apasuke ****** maana hana adabu.
Je una ushahidi wowote kuwa Israel inawasaidia PKK,SDF,HTS na AL NUSRA FRONT? hebu tuwekee hapa turned!!
PKK na SDF wote ni magaidi wanaopigania kuanzishwa kwa taifa la Kurdistan. Israel sio tu iliwapa silaha ila ilitambua kuanzishwa kwa taifa huru la kurdistan.
Israel has long maintained informal military and business ties with the Kurds, a large minority in Turkey, Iran, Syria, Iraq and further afield. In 2017, Prime Minister Benjamin Netanyahu supported a referendum for independence for Iraq's Kurdistan region.
Link kutoka BBC monitor (Pro Israel media)

Kuhusu kusupport HTS/Al Nusra

Gazeti rasmi kabisa la Times of Israel linamnukuu waziri wa ulinzi wa Israel akisema
“We’ve assisted them under two conditions,” Ya’alon said of the Israeli medical aid to the Syrian rebels, some of whom are presumably fighting with al-Qaeda affiliate al-Nusra Front to topple Syrian President Bashar Assad. “
Chanzo:
https://www.timesofisrael.com/yaalon-syrian-rebels-keeping-druze-safe-in-exchange-for-israeli-aid/

Je unadhani ni halali kwa waziri wa ulinzi kukiri kuwasaidia Al Qaeda/Al Nusra na HTS huko Syria?

Najua kujibu huwezi ngoja niite vibaraka wenzako hamis77 Mlaleo
 
Hebu niambie waliua askari wangapi kwa siku hizo 12?
Nani alikuambia wao ni chinja chinja kama Israel? Wao walikua wanashambulia miundombinu sio wanawake na watoto.

Walijua kabisa Israel ina mahandaki ya kuficha watu so wakawa wanalenga tu majengo ya kimkakati na ndio hasa ilikua lengo ili kubalance nguvu ya vita.

Wangetaka kuua wanawake na watoto wangetumia makomandoo wanaojitoa mhanga kwenye masoko na mabasi.
 
Hicho ni kitabu hata mimi ninacho hiyo riwaya ikiwekwa kwenye maandishi si kitabu mjinga wewe?
Ni Riwaya tu ile sio kitabu cha facts kama utafiti au historia!! Yaani ni story ya kutunga tu ndio maana ina characters kibao.

NB: Najua hujakisoma maana kimeandikwa kiingereza so usijaribu kunidanganya.
 
Hahahha angalau leo umetafsiri kwa Chat gpt hongera sana. Yes maana yake wamekataa kushiriki kupambana na Hamas wamesema hiyo ni kazi ya Mamlaka za palestina na sio mwingine hata Israel wameambiwa wasihusike.
Wapi waliposema hiyo ni kazi ya Mamlaka za palestina?

Cha ajabu hao wanaounga mkono Hamas wanaruhusiwa kuunda nuclear ila Iran inakataliwa kisa eti kufadhili ugaidi. Hivi umesahau Pakistan ndio ilikua inamfuga Osama Bin Laden hadi kuja "kuuwawa" na USA?
Tumia akili zako vizuri kama wa darasa la saba hilo suala nimekuelezea hapo mwanzo. Nilitarajia kama ungekuwa msomi ungekuwa umeelewa cha ajabu hujaelewa. Kwa taarifa yako Iran hawezi kuruhusiwa kuwa na silaha za Nuclear hata iweje ataishia tu kama walivyoishia Sadam na Gaddafi!!
PKK na SDF wote ni magaidi wanaopigania kuanzishwa kwa taifa la Kurdistan. Israel sio tu iliwapa silaha ila ilitambua kuanzishwa kwa taifa huru la kurdistan.
Israel has long maintained informal military and business ties with the Kurds, a large minority in Turkey, Iran, Syria, Iraq and further afield. In 2017, Prime Minister Benjamin Netanyahu supported a referendum for independence for Iraq's Kurdistan region.
Link kutoka BBC monitor (Pro Israel media)

Kuhusu kusupport HTS/Al Nusra

Gazeti rasmi kabisa la Times of Israel linamnukuu waziri wa ulinzi wa Israel akisema
“We’ve assisted them under two conditions,” Ya’alon said of the Israeli medical aid to the Syrian rebels, some of whom are presumably fighting with al-Qaeda affiliate al-Nusra Front to topple Syrian President Bashar Assad. “
Chanzo:
https://www.timesofisrael.com/yaalon-syrian-rebels-keeping-druze-safe-in-exchange-for-israeli-aid/

Je unadhani ni halali kwa waziri wa ulinzi kukiri kuwasaidia Al Qaeda/Al Nusra na HTS huko Syria?

Najua kujibu huwezi ngoja niite vibaraka wenzako hamis77 Mlaleo
Kwa kuwa unajihami nisikujibu basi sotakujibu ili ufurahi!!
 
Hakuna mahali usa kakimbia,huwezi kuendelea kutumia resources zako mahali ambapo huna maslahi napo na hakuna threat tena.

Hicho ndio kilichotokea..sasa nenda kaziambie hizo nchi zihatalishe maslah ya usa kama hujaanza kuja na uzi wa pray for.
America alikimbia Afghanistan.
Kama angekua kaondoka kwa willingness asingeacha maelfu ya silaha kama vile.
Usidanganye watu,taarifa tuliona wanajeshi wa USA wakikimbia mkuku mkuku kufungasha vilivyo muhimu na kuondoka na ndege pasi na kubeba silaha yeyote.
Kama ingekua free willing withdrawal wangejiondosha taratibu kama walivyojiondosha Iraq,Iraq walianza zoezi la kujiondosha kuanzia 2024 ambalo limeisha 2026 January.
Na Iraq hawajaacha silaha hata moja.
 
Wapi waliposema hiyo ni kazi ya Mamlaka za palestina?
Soma article we mtetea ulawiti. Wameandika ni kazi ya Palestinian Authority not otherwise. Na sio wao tu hata Indonesia imesema hivyo hivyo!! Tatizo lugha ndio changamoto.
akili zako vizuri kama wa darasa la saba hilo suala nimekuelezea hapo mwanzo. Nilitarajia kama ungekuwa msomi ungekuwa umeelewa cha ajabu hujaelewa. Kwa taarifa yako Iran hawezi kuruhusiwa kuwa na silaha za Nuclear hata iweje ataishia tu kama walivyoishia Sadam na Gaddafi!
Nimeweka article hapo kuonyesha Pakistan ikisupport silaha na mafunzo Hamas ndio nakuuliza KWANINI wanaruhusiwa kumiliki nyuklia na wanaunga mkono Magaidi wa Hamas?
 
Nani alikuambia wao ni chinja chinja kama Israel? Wao walikua wanashambulia miundombinu sio wanawake na watoto.

Walijua kabisa Israel ina mahandaki ya kuficha watu so wakawa wanalenga tu majengo ya kimkakati na ndio hasa ilikua lengo ili kubalance nguvu ya vita.

Wangetaka kuua wanawake na watoto wangetumia makomandoo wanaojitoa mhanga kwenye masoko na mabasi.
Kwa hiyo hawajaua hata askari mmoja wa Israel bali waliua watoto 8 na raia 19

Iran wameweza kuua raia wao wenyewe 36,000 wanashindwaje kuua raia wa Israel angalia hapo chini kwa vita vya siku 12 waliua watoto 9 na raia 19 harafu ulivyo zwazwa unawaramba matako na kusema so chinjachinja

View: https://x.com/jew_viking/status/2020510132052832374?t=5IdZZxbzREMoMuZwA390jw&s=19
Soma article we mtetea ulawiti. Wameandika ni kazi ya Palestinian Authority not otherwise. Na sio wao tu hata Indonesia imesema hivyo hivyo!! Tatizo lugha ndio changamoto.
Ujinga unakusumbua unaniambiaje nisome wakati wewe unaniambia sijui kusoma? Acha kuhamisha mada na kuifanya iwe ya kuongelea Ushoga wako tu!!
 
Kwa hiyo hawajaua hata askari mmoja wa Israel bali waliua watoto 8 na raia 19
Sio target yao kuua raia ndio maana, wangetaka si wangetumia cluster bombs yani bomu moja linapasuka vipande elfu 1.
Iran wameweza kuua raia wao wenyewe 36,000 wanashindwaje kuua raia wa Israel angalia hapo chini kwa vita vya siku 12 waliua watoto 9 na raia 19 harafu ulivyo zwazwa unawaramba matako na kusema so chinjachinja
Imeua 36,000? Acha uongo wewe, unaleta tweet badala ya kuleta credible evidence? Leta source za kueleweka kama mimi!! Huko twitter si hata mimi naweza post tu chochote.
Ujinga unakusumbua unaniambiaje nisome wakati wewe unaniambia sijui kusoma? Acha kuhamisha mada na kuifanya iwe ya kuongelea Ushoga wako tu!!
Sijahamisha, nimekujibu kuwa Pakistan inatambua uwepo wa taifa la palestina. Vipi una maoni gani? Hao wanaotambua magaidi kuunda nuclear
 
Sio target yao kuua raia ndio maana, wangetaka si wangetumia cluster bombs yani bomu moja linapasuka vipande elfu 1.
Na wewe sasa hapo unajiita Msomi!!!

Imeua 36,000? Acha uongo wewe, unaleta tweet badala ya kuleta credible evidence? Leta source za kueleweka kama mimi!! Huko twitter si hata mimi naweza post tu chochote.
Kuwa Mfuga Midevu na Majini ni shida sana kila kitu ni kulalamiks tu. Kama ni uongo dhibitisha huo uongo wangu sasa!! Eti unajiita msomi mbona unazidiwa na wa darasa la saba!!???
 
Back
Top Bottom