Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Naona Wairaeli wa Buza na Wairani wa Kimara Suka mnataka kuzichapa humu ndani.!!
 
Jibu swali, Iran aliomba cease fire?

Hivi unajua Israel iliishiwa interceptors na ikabidi waombe ceasefire ili ku regroup?

Mind you Iran ilikua inapambana na Israel, Saudia, Jordan, US, UK, France ambao walikua busy ku intercept rockets za Tehran.
Vita hii ya siku 12 ilianzishwa na Israel kwa kuishambulia Iran na kuua Makamanda waandamizi akiwemo Mkuu wa Majeshi ni zaidi ya Askari na makamanda 1,000 walipoteza maisha kiasi cha kujifanya Jeshi la Iran lishindwe kuangusha ndege hata moja licha ya mashambulizi mengi kufanyiwa na ndege-vita nyingi za Israel.

Tukija kwenye suala la Ceasefire si Israel iliyoomba bali ni Trump ndiye aliyeomba kwa sababu Trump alihofia Ayatollah AliKhamenei atauliwa na mashambulizi hayo ya Israel hivyo kungesababisha ndani ya Iran na vikundi vingi vingeibuka na kuifanya Iran isitawalike tena na ndipo alipowaambia Watawala wa Iran kuwepo usitishwaji mapigano na kwa sababu Iran alikuwa amezidiwa alikubali harakati harakati kusaini.

Kwa nini Iran alikubali Ceasefire haraka hivyo ilihali wao ndiyo walikuwa Wamechokozwa?

Wengi tunajua Wafuga Midevu na Majini ukiwachokoza Ugomvi kwao hauishi watapigana mpaka uwamalize lakini kwa hili walikubali haraka haraka ni kwa sababu walikuwa wanaona maji yako shingoni.

Kwa huruma gani waliyo nayo Iran kwa Iran mpaka wakubali Ceasefire haraka haraka kihivyo? Walikubali Ceasefire kwa sababu Jesho lao IRGC lilikuwa limesambaratishwa hivyo kwa Ceasefire hiyo ingewawezesha kujipanga upya.
 
Nashangaa nimeku ignore ila kuna jitu limenitag kwa nyuzi zako!!
Mpuuzi wewe huwezi kuni ignore!! mimi ni kama maji kwako Usipoyanywa utayaogo na usipoyaoga utayafulia nguo zako. Huwezi kueneza uongo na chuki zako dhidi ya Israel nikakuacha salama ni lazima tu nitakuumbua tu.

Wewe hunaga akili hao Pakistan wanaichukia Israel kuliko Iran na wanasema wanaitambua palestina kama taifa huru
Acha uongo wewe Pakistan wanawaunga mkono wafuga midevu na majini wenzao palestina lakini hawajawahi hata siku moja kuifanyia Ugaidi Israel.
Iran imekuwa ikifanya Ugaidi huko Mashariki ya kati kwa kuvifadhili vikundi vya kigaidi vya Hamas,Hezbollah na Houth wameua watu wengi sana huko Israel magaidi hao wakitimiza nia ovu ya Bwana wao Iran. Pakistan haijawahi kuitishia nchi yoyote kuifuta kwenye uso wa dunia lakini Iran ilishafanya hivyo kwa Israel hivyo ikakosa sifa

Unajua we jamaa kabishane na la saba wenzako I'm not your match so stop quoting me. Hujui lolote kuhusu nuclear powers alafu kuokoteza visababu vya kujustify ujinga wa Israel.
Ni kweli mimi ni darasa la saba lakini najua mengi zaidi yako wewe Bumunda ambaye umejazwa chuki na waarabu wanaokutumia kama Condom. Hapo tukikuuliza unapusema ujinga wa Israel ni upi? Huwezi kujibu utabaki kubwabwaja tu na chuki zako za kijinga.

Enhee vipi kuhusu Epstein jausi wa Mossad na hao wayahudi kina Ghislaine Maxwell waliokua wanavilawiti vitoto vya miaka 10 nayo ni sababu vinatishia usalama wa Israel?

Embicile
Pumbavu kabisa!! ULIKUWEPO?
Mbona huzungumzii mazulia ya Makka kwenye jiwe Jeusi yaliyouzwa kwa watu huko ulaya na marekani? Au hilo kwako si kashfa?

Mbona huongelei mabinti zetu wanavyofanyiwa unyama na waarabu huko kwenye nchi za kiarabu wanateswa,wanabakwa,wanafirwa na wengine kuuwawa huko. Wewe Mwarabu-koko unajifanya huyajui ili kulinda hadhi za Mabwana zako waarabu?
 
Eti imekosa sifa? Anayetoa hizo sifa ni nani? Mbona North Korea inatishia kuifuta sio tu South Korea ila kurusha kombora mpaka marekani vipi hawajakosa sifa hadi leo wanazalisha na hawajavamiwa??
Tumia akili zako vizuri mjinga wewe North Korea hajawahi kusema kuifuta South Korea kwa Nuclear maana hawezi maana ni wako zero distance ni sawa na Russia hawezi kutumia silaha za Nuclear kuipiga Ukraine maana itakuwa sawa na kujimaliza mwenyewe hiyo mimi wa darasa la saba nakuelimisha ili ujinga ukutoke.
Kuhusu kurusha kombola marekani hizo ni ndoto za Mwendawazimu kama unazoota wewe kuwa Iran inaweza kupigana na Marekani na ikashinda!!!
We jamaa ni lijinga na tatizo shule hauna. Unaamini Israel na US wana hatimiliki ya dunia na wapo sahihi
Na wewe kwa akili yako ndogo waamini tu waarabu hakuna shida hakuna atakayekuzuia maadamu wewe unaona waarabu wako sahihi!!

Kipindi makaburu wa South Africa wanateketeza watu weusi huko Afrika kusini walikuwa wanaunda nuclear energy ili watengeneze bomu la kujilinda dhidi ya watu weusi huko mbele. Ni Israel iliwapa teknolojia na support yote ya kuunda silaha za kuangamiza watu weusi.
Nikikuuliza maswali hapo huwezi kujibu!!
Kuna watu wangapi waliuwawa na silaha za Nuclear huko Afrika kusini?

Ni mjinga yupi duniani anaweza kutengeneza silaha za Nuclear kwa kumuangamiza adui wa ndani?

Afrika kusini wanapata madhara gani kwa nchi hiyo kuwa na silaha za Nuclear?

Kama wewe ni msomi utanijibu lakini kwa ulivyo ** Bumunda** utaishia kutukana tu.
 
Huna akili wewe, nani aliyekuambia ukiua majenerali ndio umeshinda vita? Hata Hitler aliua warusi zaidi ya million 20 ila bado Russia ilishinda vita!!
Tatizo wewe ni raia hujawahi kupitia hata Mgambo. Makamanda waandamizi ndiyo wanaopanga na kuoongoza vita na si mwingine yeyote.

Askari wa kawaida hawezi kupanga na kuongoza vita yoyote yeye anaitwa Mpiganaji na mpiganishaji.

Kwenye hali iliyowapata IRGC wasingeweza kuendelea na vita maana hakuna wapiganishaji wapo wapiganaji tu hivyo walitakiwa kupata nafaji ya kujipanga upya. ** Bumunda** kama wewe hayo huwezi kuyajua.
 
Wewe pumbavu sina muda wa kubishana na ling’weng’we lililojaa mavi kichwani
Nilikuwekea na ushahidi wa kuwa hizo silaha walipewa lakini kwa kuwa na wewe ni Bumunda umejitoa ufahamu kwa kukataa ukweli!! Mabumunda kama nyie mimi nawaweza sana tu!!
 
Katafute kitabu kinachoitwa animal farmer. Katika nafasi ya mnyama nguruwe muweke USA. Utapata picha mchezo anaoucheza marekani ktk hii dunia
Katafute kitabu kinachoitwa "Stanic verses" kilichoandikwa na Rushdi hapo ndipo utajua unachoshabikia ni upumbavu mtupu!!
 
zaidi ya Askari na makamanda 1,000
1000 kwenye jeshi lenye active member 610,000/=.
kiasi cha kujifanya Jeshi la Iran lishindwe kuangusha ndege hata moja licha ya mashambulizi mengi kufanyiwa na ndege-vita nyingi za Israel.
Haahaaa washindwe kudungua ndege za Israel ila waweze kurusha makombora Tel Aviv? Kwanini hizo ndege za Israel zisingelipua battery zote za Iran?
Hahaha Trum
Trump alihofia Ayatollah AliKhamenei atauliwa
Hahahah yaani Trump ahofie Ayatollah kuuwawa? Umesahau Israel ililipua bomu kikao kilichokua na serikali nzima kuanzia Rais hadi Ayatollah?
Kwa nini Iran alikubali Ceasefire haraka hivyo ilihali wao ndiyo walikuwa Wamechokozwa?
Kama aliyekuchokoza kaacha sasa uendelee na nini? Maana Iran hakua na nia ya kupindua serikali ya Israel wala nini yeye alikua akichokozwa analipa tu na makombora. Hakutaka escalation zaidi maana hakua ameanza vita yeye.
Wengi tunajua Wafuga Midevu na Majini ukiwachokoza Ugomvi kwao hauishi watapigana mpaka uwamalize lakini kwa hili walikubali haraka haraka ni kwa sababu walikuwa wanaona maji yako shingoni
Mbona Ukraine na Russia vita haiishi ni wafuga midevu? Hata vita kuu ya dunia ya 1 na 2 zilianzishwa na wafuga midevu?
 
Walikubali Ceasefire kwa sababu Jesho lao IRGC lilikuwa limesambaratishwa hivyo kwa Ceasefire hiyo ingewawezesha kujipanga upya
Kama lilisambaratishwa nani aliyekua anarusha vyuma Tel Aviv hadi maghorofa kugeuka magofu? Walilipua bandari na research institutes wakitokea wapi kama jeshi lilisambaratishwa?
 
Mpuuzi wewe huwezi kuni ignore!! mimi ni kama maji kwako Usipoyanywa utayaogo na usipoyaoga utayafulia nguo zako. Huwezi kueneza uongo na chuki zako dhidi ya Israel nikakuacha salama ni lazima tu nitakuumbua tu
Nilishakwambia hauna uwezo huo, maana sio tu elimu yako ndogo ila historia au geopolitics za Middle East na Asia minor huzijui kabisa.
Acha uongo wewe Pakistan wanawaunga mkono wafuga midevu na majini wenzao palestina lakini hawajawahi hata siku moja kuifanyia Ugaidi Israel.
Iran imekuwa ikifanya Ugaidi huko Mashariki ya kati kwa kuvifadhili vikundi vya kigaidi vya Hamas,Hezbollah na Houth wameua watu wengi sana huko Israel magaidi hao wakitimiza nia ovu ya Bwana wao Iran. Pakistan haijawahi kuitishia nchi yoyote kuifuta kwenye uso wa dunia lakini Iran ilishafanya hivyo kwa Israel hivyo ikakosa sifa
Hahahah we jamaa akili hunaga, hujui Pakistan imekataa Hamas kupokonywa silaha? Na imekua ikiwapa silaha wapiganaji wa Hamas? Soma hii link au lugha changamoto?

TRT World - Ready to take part in Gaza stabilisation force, but not to disarm Hamas: Pakistan

Naomba ujibu hili swali
KWANINI PAKISTAN INAUNGA MKONO HAMAS NA IMERUHUSIWA KUMILIKI NUCLEAR??

Ukikosa jibu ndio ujue we ni mjinga unatetea mambo usiyoyaelewa.
 
Iran imekuwa ikifanya Ugaidi huko Mashariki ya kati kwa kuvifadhili vikundi vya kigaidi vya Hamas,Hezbollah na Houth
Ndio maana nikasema we ni mjinga tu, mbona Israel wanasupport PKK magaidi wa Uturuki, SDF wa Syria, HTS na Al Nusra front, na hata Rais wa Syria ni kiongozi wa Al Qaeda nchini Syria!!

Israel kwao ni halali ila Iran ndio haramu? Una akili kweli?
 
Pumbavu kabisa!! ULIKUWEPO?
Mbona huzungumzii mazulia ya Makka kwenye jiwe Jeusi yaliyouzwa kwa watu huko ulaya na marekani? Au hilo kwako si kashfa?
We jamaa uzuri umekubali ni la saba. Zulia hubadilishwa kila baada ya miezi 12 so hutupwa tu so sio skendo maana kila mwaka linawekwa jipya.
Mbona huongelei mabinti zetu wanavyofanyiwa unyama na waarabu huko kwenye nchi za kiarabu wanateswa,wanabakwa,wanafirwa na wengine kuuwawa huko. Wewe Mwarabu-koko unajifanya huyajui ili kulinda hadhi za Mabwana zako waarabu
Sasa si waislam ni magaidi na mashetani hivyo ndio walipaswa wafanye uovu kwanini sasa wayahudi w taifa teule lililojaa watakatifu na waenda mbinguni lilawiti vitoto vya miaka 7? Unaona ni sawa
 
Sasa si waislam ni magaidi na mashetani hivyo ndio walipaswa wafanye uovu kwanini sasa wayahudi w taifa teule lililojaa watakatifu na waenda mbinguni lilawiti vitoto vya miaka 7? Unaona ni sawa
Kuoa vitoto vidongo hilo hulioni maana dini yako inakuruhusu?
Mabinti wa kiafrika wameenda kufanya kazi uarabuni wao wamewageuza kisusio wanawabaka,Wanawafira na wengine kuuwawa hayo yote huyaoni?
 
We jamaa uzuri umekubali ni la saba. Zulia hubadilishwa kila baada ya miezi 12 so hutupwa tu so sio skendo maana kila mwaka linawekwa jipya.
Siyo limetupwa limeuzwa kwa wanywa pombe na wacheza kamari ambao hata si waislam.

Usidanganye watu kuwa huwa yanatupwa!!
 
Ndio maana nikasema we ni mjinga tu, mbona Israel wanasupport PKK magaidi wa Uturuki, SDF wa Syria, HTS na Al Nusra front, na hata Rais wa Syria ni kiongozi wa Al Qaeda nchini Syria!!

Israel kwao ni halali ila Iran ndio haramu? Una akili kweli?
Kama Iran anaiga Kunya kwa Tembo basi Acha sasa Apasuke ****** maana hana adabu.
Je una ushahidi wowote kuwa Israel inawasaidia PKK,SDF,HTS na AL NUSRA FRONT? hebu tuwekee hapa turned!!
 
Kama lilisambaratishwa nani aliyekua anarusha vyuma Tel Aviv hadi maghorofa kugeuka magofu? Walilipua bandari na research institutes wakitokea wapi kama jeshi lilisambaratishwa?
Hebu niambie waliua askari wangapi kwa siku hizo 12?
 
Hahahah we jamaa akili hunaga, hujui Pakistan imekataa Hamas kupokonywa silaha? Na imekua ikiwapa silaha wapiganaji wa Hamas? Soma hii link au lugha changamoto?
Ngoja mimi wa darasa la saba nikupe shule kwenye taarifa hiyo wamesema:
Pakistan imesema kwamba ingawa iko tayari kuchangia katika kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu huko Gaza, "haiko tayari" kuwapokonya silaha kundi la upinzani la Palestina Hamas. sasa hapo wewe umeelewaje? Acha ujinga wao watashiriki kupeleka askari tu lakini katika kuwapokonya silaha magaidi hawawezi!! Kwani hapo watazuia nini magaidi wa Hamas watake wastage lazima wapokonywe silaha!!
 
Tatizo wewe ni raia hujawahi kupitia hata Mgambo. Makamanda waandamizi ndiyo wanaopanga na kuoongoza vita na si mwingine yeyote.

Askari wa kawaida hawezi kupanga na kuongoza vita yoyote yeye anaitwa Mpiganaji na mpiganishaji.

Kwenye hali iliyowapata IRGC wasingeweza kuendelea na vita maana hakuna wapiganishaji wapo wapiganaji tu hivyo walitakiwa kupata nafaji ya kujipanga upya. ** Bumunda** kama wewe hayo huwezi kuyajua.
Huna unalojua, hao viongozi wa juu ni wapanga strategy tu ila wanaopigana directly na watu hatari ni operational level kama captains, lieutenants n.k

We umewahi ona wapi mapinduzi yakafanywa na majenerali wakubwa zaidi ya 90% hufanywa na hawa ma ofisa wa chini kama kaptain traore, gadaffi n.k

We jamaa ni sifuri kabisa kichwani.
 
Katafute kitabu kinachoitwa "Stanic verses" kilichoandikwa na Rushdi hapo ndipo utajua unachoshabikia ni upumbavu mtupu!!
Ulivyo lijinga unadhani kile ni kitabu, ile ni riwaya kama tu za shigongo sema inamtaja mtu anayeitwa "Mahound" ambaye amefananishwa kama mtume Muhammad S.A.W so ndio ikaleta mzozo. Ila ni riwaya ila ambao hamna elimu na lugha isiyopanda mnadhani aliandika kitabu kuhusu aya za shetani kwenye quran.

Unasikitisha sana
 
Huna unalojua, hao viongozi wa juu ni wapanga strategy tu ila wanaopigana directly na watu hatari ni operational level kama captains, lieutenants n.k
Bila mipango hao askari hawawezi kufanya kitu na uelewe Jeshini kuna Chain of Command **Bumunda**kama wewe huwezi kuyajua haya!!

We umewahi ona wapi mapinduzi yakafanywa na majenerali wakubwa zaidi ya 90% hufanywa na hawa ma ofisa wa chini kama kaptain traore, gadaffi n.k

We jamaa ni sifuri kabisa kichwani.
Uliona wapi vitani ikaongozwa na viongozi wa chini? Wajinga tu kama wewe ndiyo wataamini vita inapamgwa na askari w chini!!
 
Back
Top Bottom