Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Sijahamisha, nimekujibu kuwa Pakistan inatambua uwepo wa taifa la palestina. Vipi una maoni gani? Hao wanaotambua magaidi kuunda nuclear
Kutambua taifa fake la palestina hiyo si tatizo tatizo ni kuwapa magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth silaha. Lakini kama kuwatambua tu haina shida!!
 
kiufunuo maono aliyoyafunua BWANA YESU kwa mtumishi wake
1)NCHI YA IRAN ndiyo inayomiliki silaha ya bomu la nyuklia hatari zaidi duniani kuliko nchi yeyote duniani,na endapo wakizitumia zitaleta madhara kwa sehemu kubwa zaidi ya dunia

2)YESU hataruhusu hizo silaha hatari zaidi na zenye uwezo wa kuharibu sehemu kubwa ya dunia
YESU HATARUHUSU IRANI izitumie silaha hizo KABLA HAJAWANYAKUA watakatifu wake waliopo DUNIANI.

kwenye maono ulimwengu wa ROHO mtumishi wa MUNGU alipelekwa mpaka nchi ya irani akaonyeshwa silaha hizo zilipofichwa kwa siri ambapo hakuna mtu anayejua zilipo ,ila YESU alimuonyesha mtumishi wake ..

ANGALIA mabomu haya ..usiyaone hivi ..haya mabomu ya nyuklia ni hatari zaidi kuliko mabomu yote duniani..na hakuna nchi nyingine yeyote duniani inamiliki na yamefuchwa sehemu ya siri hakuna mtu mwingine anajua ...kwa siri sana ..sehemu ya siri sana.

YESU hataruhusu irani iyatumie kabla hajawaondoa watu wake..yatasababisha madhara makubwa duniani sehemu kubwa zaidi.
(UJUMBE WA YESU...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOPO DUNIANI UMEKARIBIA SANA)
mtakatifu na azidi kutakaswa ,mwenye dhambi azidi kutenda

yafue mavazi yako yawe meupe...uwe tayari...
 
Back
Top Bottom