Kuna mtu kaniambia nina Kichaa cha Ndoa, hii ni kweli ipo?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa?

Kilishawahi kukupata? Please share your experience.
 
Bridezilla.
 
Kila mwanamke unayemuona lazima uhisi kuwa anatembea na mume wako. Unakuwa haujiamini. Mwenye hasira Kali sana hasa na jinsia yakike, unakuwa huwezi kuongea na wanawake ambayo Hawana ndoa bila majigambo.
 
Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa?

Kilishawahi kukupata? Please share your experience.
Ndio ninyi wanawake huwa Kuna muda munakuwa vichaa hata wifi yako alikuwa anapitia hivyo
 
Back
Top Bottom