MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kijana kapata nafasi ya kuongea na Rais akaomba kwenda kutukana wapinzani. Ni zaidi ya uwendawazimu. Rais wa TAHLISO kakosea sana. Hii kauli yake haifai kwenye nchi ya kistaarabu kama yetu. Halafu TAHLISO sio chama cha kisiasa wala idara ya CCM. Huyu angejikita kwenye malengo ya TAHLISO na hizo kazi za kupamba na wapinzani angeachia UVCCM.
Kwa akili kama za huyo dogo Kiliba ni sahihi kabisa kina Mzee Wasira kuendelea kulamba teuzi.
View: https://www.instagram.com/p/DeuRnyDOfqj/?rpxt=bnB2cHA3OW9pYXo=
Kwa akili kama za huyo dogo Kiliba ni sahihi kabisa kina Mzee Wasira kuendelea kulamba teuzi.
View: https://www.instagram.com/p/DeuRnyDOfqj/?rpxt=bnB2cHA3OW9pYXo=