Nina mashaka hata huyu mtoto Sio wa Kwangu

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Habari zenu wakuu,

Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo hajawahi kuiweka wazi..

Toka ameondoka huwa nampigia Kufahamu Hali ya mtoto lakini huwa ananiambia haitaji chochote kutoka Kwangu kuhusu matumizi ya mtoto, Na hapo ndipo kidogo huwa inanitia mashaka, Kama kweli mtoto Ni damu yangu iweje Baba wa mtoto nikataliwe kutoa hata matumizi.....
 
137745.jpg
Mtoto haliliwi, Kama jogoo anawika tafuta mtoto mwingine mkuu. 🤒🤒
 
Mkuu kuna uwezekano ukawa na cheti cha kuzaliwa chenye jina lako kama mzazi wa kiume, na pengine vipo vingine kadhaa vyenye majina ya wazazi wenzako pia. Ila mama yake ndiye pekee mwenye kumjua baba halisi wa mtoto.

Kama unaitambua namba yake ya simu wewe mtumie muamala wa matumizi kila mwezi. Ukifika muda utatambua wewe kama ndiye baba halisi wa mtoto ama la. Siku hizi teknolojia ina majibu.
 
Habari zenu wakuu,

Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo hajawahi kuiweka wazi..

Toka ameondoka huwa nampigia Kufahamu Hali ya mtoto lakini huwa ananiambia haitaji chochote kutoka Kwangu kuhusu matumizi ya mtoto, Na hapo ndipo kidogo huwa inanitia mashaka, Kama kweli mtoto Ni damu yangu iweje Baba wa mtoto nikataliwe kutoa hata matumizi.....
Mkuu sio wewe tu, hata mimi kuba binti nimezaa nae alijifungulia kwao, shorttly binti ananichukia sana japo ni kiburi by nature ILA HAWATAKI HATA MIA YANGU, mpaka nilishapostig humu kuomba ushauri, now dogo ana 2 na nusu wanakomaa wao,japo dogo nimerandisha randisha
 
Inawezekana hataki ukaribu na wewe, ila usikate tamaa anakusaidia kupunguza matumizi, tafuta chombo kingine zalisha.
 
Kwamimi ingekuwa poa tu najizma data kama alivyosema ila kama ni wako kunasiku atakupigia simu mwenyewe
 
Habari zenu wakuu,

Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo hajawahi kuiweka wazi..

Toka ameondoka huwa nampigia Kufahamu Hali ya mtoto lakini huwa ananiambia haitaji chochote kutoka Kwangu kuhusu matumizi ya mtoto, Na hapo ndipo kidogo huwa inanitia mashaka, Kama kweli mtoto Ni damu yangu iweje Baba wa mtoto nikataliwe kutoa hata matumizi.....
mzee mwenzangu we kila siku majanga tu mara mkeo akuamie huna nguvu na kukudhalilisha lah.. jitafakari kuna eneo umekosa... spritually.
 
Back
Top Bottom