huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

    Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kwamba CDM mlitaka Nchi nzima tukampokee Jihan Dimack. Huyu ni msanii anapokelewa na wasanii wenzake angekuwa Paster angepokelewa na mapaster

    Naona sasa wafuasi wa CHADEMA mmepata cha kuongea Facebook, mbaya zaidi, hata wale ma think tank wa chadema akina mange kimambi na maria Sarungi nao wanapost mambo ya mapokezi ya Jihan Dimack, huko ni kuishiwa hoja, mna siasa za kitoto toto sana, mnasiasa za kutapelia watu hela kupitia...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi CCM Kahama huyu mwnachama wenu anayejiita Manala Mbumba anayefanya utapeli ilikuaje mkamruhusu agombee ubunge kura za maoni?

    Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam. Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa huyu wakili juu ya chumo la pamoja. Mwanamke akukute umeshajenga ukiishi nae tu kwenye hiyo nyumba ni mali yenu wote!

    Huyu wakili anachochea mauaji ya wanandoa👇
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Huyu mzazi wangu Anakosa msaada Kwa sababu ya usanii wa kipuuzi

    Yupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hawara kisheria ni huyu hapa!

    Mara nyingi kumekuwa na fikra tofauti tofauti kwa watu juu ya 'kuwa hawala' katika mahusiano. Kwahiyo swali linakuja, hawara ni yupi hasa kisheria? Kwanza kabisa kama uko kwenye mahusiano mawili au matatu, wewe ni hawala. Pili, kama unaishi na mwanaume ambae ameoa na hajavunja ndoa yake...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Wanabodi Hii ni PNA ya Makonda Siku hizi ukimsifia kiongozi yeyote, huchelewi kuitwa chawa, hivyo kama mtu utaitwa chawa kwa kuusema ukweli, then let it be it!. Kuna viongozi wengi nimekuwa nikiwazungumzia, mmoja wao ni Paulo Kristiano Makonda, wanga na wasio mpenda wanamuita DAB, hawa...
  10. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Huyu Chalamila, Mkuu wa Mkoa DSM, akapimwe!

    Mapepo si mapepo! Siyo bure, akapimwe!
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa

    Wakuu Mbunge wa Jimbo la Ushetu (CCM), Emmanuel Peter Cherehani, akiwa katika ziara yake Kata ya Chambo Oktoba 7, 2026, aliulizwa na mwananchi kuhusu lini mchakato wa kupata Katiba Mpya yenye demokrasia utaanza. Katika ziara hiyo, pia alizindua Zahanati ya Kijiji cha Nyawishi na kutembelea...
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!. Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!.. Jamaa kapagawa hajui...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je hii, ndiyo taswira kamili ya CCM? Mtu kama huyu hafai kuwa kiongozi

    Aliunga mkono mauaji na utekaji hadharani leo hii anapata teuzi. Hii ndio CCM👇
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Huyu member huwaga ananshangaza sana

    Kuna huyu member kwenye huu uzi hapa chini analalamikia kwamba TMA kila siku wanakuja na mambo yaleyale uzi huu hapo chinj https://www.jamiiforums.com/threads/utabiri-wa-tma-kila-siku-ni-huu.2481130/ Kuna uzi nilisema tuwe na satellite kama nchi na itasaidia kwenye mambo mengi sana ikiwemo...
  15. aise

    JamiiForums Tanzania Huyu ni nani?

    Huyu ni nani? Ni binadamu? Kuna historia tangia utoto wake?
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: ALIYEINGIZA SILAHA ZA MO29 HUYU HAPA

  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Zelensky ameambiwa hayuko salama popote alipo hata anakojificha ...

    ZELENSKY FELT THE BLASTS IN HIS BUNKER🚨🚨🚨 Russia launched a massive missile strike on Kyiv overnight. The blasts were so powerful he felt them underground. That is not a military message. That is a personal one. Moscow is telling Zelensky he is not safe. Not in his office. Not in his...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Natoa pongezi kwa wote wanaompambania huyu binti huko Thailand. Lete ushindi nyumbani.

    Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
Back
Top Bottom