Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchiJamaa kafanya nchi nzima misukule
Anaongoza kwa remoteView attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
Afadhali misukule, amewafanya mahanisiJamaa kafanya nchi nzima misukule
Kama hapa!Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchi
Sio zaidi ni sawa tu, hata wa kwetu akifanya hivyo tutafanya nini kwanza kajiweka na hakuna shida kuna tofauti gani na huko?Kumbe Cameroon kuna misukule zaidi ya Bongo
View attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
Mbona kawaida sana, nini cha ajabuView attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
Chanzo cha taarifa hii ni kipi?View attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
Uwo SI ni ujinga kabisa wa kiwango cha 5G.View attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
Kwa Africa iyo inawezeka a kabisa Wala hakuna sababu ya kuomba chanzo. Kwa namna iyo nchi mfumo wake wa utawala ulivyo....ni aibu.Chanzo cha taarifa hii ni kipi?
Source plz!