Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchi
ukute na wao wanatucheka Tanzania na kibibi chetu kinachotoroka kwa siri kwenda kwa mchepuko wake CHIVAYO!
 
Kuna mambo ya kiseng€ sana yanafanyika Afrika na waafrika masokwe na yanatufanya waAfrika wote kuonekana makuma tu .Adui wa Afrika ni mwafrika
 
Shida sio kutawala muda mrefu, ila hamna cha maana wanachofanya
 
Habari kama hizi kwa heshima ya jukwaa na weledi wa jf ni vyema mtu akileta habari basi aweke na chanzo cha taarifa yake ili tupate kuithibitsha........

Kwa heshima ya jukwaa na weledi wa wanajukwaa sio sawa kujadili uzushi au taarifa inayokuja kwa mfumo huu...hata kama ikiwa ni kweli.....
 
Kuna Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea.
Tangu mwaka 1979 yuko madarakani baada kumpindua baba yake mdogo Francisco Macias Nguema.

Kuna Denise Sousou Ngueso wa Congo Brazzavile.naye yupo tangu mwaka 1979 ingawa aliwahi kupata mapumziko ya muda, lakini bado yupo madarakani.

Wao pamoja na Yoweri Museveni hawana mipango ya kuachia madaraka kwa njia ya amani.

Hata Joseph Kabila sasa anajuta kuachia madaraka kirahisi namna ile. Ndiyo maana ameamua kurudi msituni ili atwae kwa mara nyingine kiti chake.
Kabila atapata uungwaji mkono kutoka misukule ya Congo ili kumrudisha madarakani.
Hii ni hatari.

Viti vya Madaraka ni kitu kingine Mtani. Watu wakishakalia hawataki kabisa Mtani.
 
Back
Top Bottom