Sijui ni mimi tu, nikimcheki huyu jamaa najawa na hasira.View attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
View attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
Jamaa kafanya nchi nzima misukule
Mwafrica bado ana evolve hata Brain yake haijafika stage Fulani Fulani anapaswa bado kutawaliwa,
Umemuona Bola Tinubu he is very tired most of the time anakuwa UK au France Kwenye matibabu
Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchi
😂🤣😅😆😁😄😃😀😅😆😁😁🫠😄Hii Nayo Kali Sana Kama Ugoro !! Chafya Nyingi Mpaka Unajikojolea
Kumbe Cameroon kuna misukule zaidi ya Bongo
Anaongoza kwa remote
Kuzaliwa afrika sometimes n kama laana flani hivi
Afadhali misukule, amewafanya mahanisi
sidhani kama ni kweli. Kwa umri wake labda anahudhuria matibabu ya muda mrefu, wapinzani wake wakaanza kusema haishi nchini
Mapinduzi ndii njia ya mwisho kufukuza tawala za madikteta wajinga.
Kama hapa!
ndio maana nikaja na hii.Aisee
Rais wa nchi anatangaza ziara ya muda mfupi kuitembelea nchi ambayo yeye ndiye rais na unaona ni kawaida? Wewe nawe ni msukule msengerema, tena ni kumernyoofu na ndefu mno,Mbona kawaida sana, nini cha ajabu
Mambo ya state captured wahuni sio watu..Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchi
ok.View attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.

Ni kwei misukule.Jamaa kafanya nchi nzima misukule
Hilo kundi ndiyo linalolazimisha mzee abaki madarakani ili wanufaike.Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchi
Mkuu
Civil war hapo ni mchana kweupendio maana nikaja na hii.
Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya Hayati Samora Machel, Rais wa kwanza wa Msumbiji, huku tukimkumbuka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliweka misingi ya nchi na umoja kama Baba wa Taifa.
Maono haya yanajenga picha ya kiongozi ajaye ambaye atakamilisha ndoto za maendeleo na ukombozi wa kiuchumi kwa Tanzania, Jumuiya ya Afrika Mashariki, na bara zima la Afrika.
1/ Nchi yetu imepita katika mikono ya viongozi wakuu walioacha alama zao. Lakini, historia inajiandaa kumzaa kiongozi mmoja wa kipekee—Rais ajaye ambaye hatakuwa tu mtawala, bali "Baba wa Wananchi". Tofauti na...
- IIT MWASISI OS
- baba wa taifa rais ajaye
- Replies: 92
- Forum: Jukwaa la Siasa
AFRICA INATAKIWA IWE NCHI 1. USAF
UNITED STATE OF AFRIC
Mtani hii yote ni tawala za Kibabe yaani Wananchi wapo wapo tu.Ni kwei misukule.
Rais mwenyewe ukimtazama amefubaa kwa maradhi ya uzee.
Ukimcharaza kofi moja tu kwisha lakini wananchi bado wana imani naye🙄🙄
Tatizo la Afrika siyo viongozi wake ni wananchi wake wanaokubali kuongozwa na misukule kama huyo kibabu.😏😏
Siyo kundi la wahuni tu bali ndugu zake na familia yake ndio wameshika madaraka kwaanzia usalama wa taifa hadi jeshini polisi wizara zote. Halafu makatili vibaya sana kuliko hawa wetu wasiojulikana.Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchi
Kuna mtu yuko Cameroon anatawala kiaina.Na bado kuna wahuni wanaomkingia kifua na kutaka aendelee kutawala maana wanaufaika nae kwenye meza moja na ndio wanaofanya kila linalowezekana aendelee kubakia madarakani
Kuna Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea.Ukisikia uchu wa madaraka ndo huo sasa.
Kuna yule mwengine Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir mwaka 2022 kama sijakosea alijikojolea akiwa kwenye uzinduzi wa barabara.
Na mpaka leo bado yupo Madarakani akitembea ana mkongojo ambao hata kuutumia hawezi lakini kang'ang'ana.
Tatizo ni majeshi ndo vimeoNi kwei misukule.
Rais mwenyewe ukimtazama amefubaa kwa maradhi ya uzee.
Ukimcharaza kofi moja tu kwisha lakini wananchi bado wana imani naye🙄🙄
Tatizo la Afrika siyo viongozi wake ni wananchi wake wanaokubali kuongozwa na misukule kama huyo kibabu.😏😏