Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

Paul Biya ni Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982. Alizaliwa tarehe 13 Februari 1933 huko Mvomeka'a, Cameroon
 
Mwafrica bado ana evolve hata Brain yake haijafika stage Fulani Fulani anapaswa bado kutawaliwa,

Umemuona Bola Tinubu he is very tired most of the time anakuwa UK au France Kwenye matibabu
Hii kitu ni ya kufanyia research aiseee, something is not right
 
Nampenda sana Mzee Donald Trump. Africa imatakiwa itawaliwe tena na wakoloni.
 
Back
Top Bottom