jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa Jukwaa la Kimataifa la Nasser atembelea Taasisi ya Palestina na Maeneo ya Kiarabu Yanayokaliwa kwa Mabavu

    Mtafiti wa anthropolojia Hassan Ghazaly, mwanzilishi wa Jukwaa la Kimataifa la Nasser, amekutana na Balozi Dkt. Fayez Mustafa, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Mkuu wa Sekta ya Palestina na Maeneo ya Kiarabu Yanayokaliwa kwa Mabavu, pamoja na Dkt. Nawal Al-Arabi, Waziri...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la love connect lipo wapi?

    Naulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi? Kama liliondolewa sababu ni nini?
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa Eastleigh wageuka jukwaa la Mosiria kung’ara baada ya kufutwa kazi na Gavana Sakaja wa Nairobi

    Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wana jukwaa, hivi mtu kama huyu angepataje tunzo ya masuala ya haki tena kimataifa?

    Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuanzisha jukwaa la wasomi na wenye mawazo mapana laloloruhusu wengine kujifunza

    Ndugu Uongozi wa JamiiForums, Mimi ni mmoja wa wanachama wa jukwaa hili, na nina elimu ya kidato cha nne (Form Four). Kwanza kabisa, nawapongeza kwa kuendelea kuwa jukwaa namba moja la kutoa habari na mijadala huru hapa nchini. Lengo la barua/ujumbe huu ni kutoa ushauri wenye tija kwa ajili ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Habari na Uhuru wa Vyombo vya Habari: Je, Taifa Linarudi Nyuma Kidijitali na Kiuhuru? (Mifano Halisi ya Unyanyasaji wa Wanahabari)

    Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kurudisha asili ya Mnazi Mmoja: Jukwaa la ana kwa ana la kustahimiliana kifikra, kiimani na kisiasa (speaker's corner yetu?)

    Wakati nchi yetu ikipita kwenye mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuelekea msimu wa maamuzi, tunapaswa kujiuliza ni kwa namna gani tunaweza kurasimisha uhuru wa kujieleza nje ya mitandao ya kijamii. Je, Bustani ya Mnazi Mmoja inaweza kuwa "Speaker's Corner" yetu ya kitaifa ambapo wananzengo...
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Jukwaa chit-chat mnataka nyuzi za aina gani ?

    Bila hata matusi , stara ya kiwango cha lami mnafuta nyuzi za humu🤔 Kuna nini humu ndani ? Ni sharia ipi imebadilika ambayo wana zengo tunashindwa kuifahamu?
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi Vienna kwa Jukwaa la IAEA

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini...
  13. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu imegeuka jukwaa la CHADEMA kuiambia dunia madhila wanayopitia

    Natamani ningekuwa muhenga angalau hata kwa siku moja, ili nionje ladha kidogo ya uwezo wa kuona mbali. Iliwezekanaje miaka tele iliyopita, muhenga mmoja akang'amua kuwa, kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua? Leo hiki ndicho kinachoendelea kwenye kesi ya Lissu. Kwamtazamo wa haraka haraka...
  14. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Barabara na Reli Hazitatoshi Kulinda Taifa. Je, Tunaepuka Vipi Kifo cha Utambulisho Wetu Kidijitali?Jukwaa (Sub-forum): Jukwaa la Siasa / J

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  15. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Nataman Uongozi Wa Hili Jukwaa Mfanyie Kazi Wazo Hili;

    Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama zilivyo Instagram au Facebook Sasa kwanini uongozi usianzishe mchakato wa kupeleka Jukwaa hili kwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anafungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA50 na Jukwaa la Miundombinu kwa Afrika

    https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wanahabari Kuelekea Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Afrika50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, 2/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=hCEd0tdpyNQ
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), uliobeba kaulimbiu ya “Miaka kumi ya mafanikio kutoka maono hadi utekelezaji - A Decade of Economic Impact: From...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Nanenane yageuka Jukwaa la Bidhaa za Wafanyabiashara badala ya Wakulima

    Nanenane ni siku ya wakulima kuonyesha bidhaa zao za kilimo, ikiwemo teknolojia za kilimo ambazo zitawasaidia wakulima kuongeza ufanisi katika kilimo. Lakini siku za hivi karibuni, maonyesho haya yamevamiwa na wafanyabiashara wasiokuwa wakulima, jambo ambalo limesababisha kwa kiasi kikubwa...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la wakubwa (JLK):Gharama za ukorofi

    Ujana ni kujaribu kila kitu, lakini utu uzima ni kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija. Nani ameshafika level hii?"
Back
Top Bottom