Nataman Uongozi Wa Hili Jukwaa Mfanyie Kazi Wazo Hili;

Nataman Uongozi Wa Hili Jukwaa Mfanyie Kazi Wazo Hili;

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili

Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama zilivyo Instagram au Facebook

Sasa kwanini uongozi usianzishe mchakato wa kupeleka Jukwaa hili kwa wananchi ata wa kawaida wakapata elimu juu ya hili Jukwaa?

Tukiamua tunaweza kuanza kulitangaza Jukwaa hili kupitia Charity activities, Marathon, nk

Inapangwa tarehe fulan watu wanakutanika labda Mwanza,mbeya,Arusha,Dar, Zanzibar ,mnafanya jogging mnapita kwa watu wa sokon, bodaboda mama ntilie wanafunzi wa vyuo wote wanapewa elimu juu ya matumizi ya Jukwaa hili , tunasijili watu wapya ili tuongeze members

Tunahakikisha tunafanya kila njia kuhakikisha tunapata watu wapya kwa namna ambavyo ata Ile Mitandao ya simu au ata benki hufanya kupata wateja wapya .
 
Inavyopigwa vita na mapini kila uchwao, alafu leo hii waruhusu ifanyiwe promo mitaani?NEVER.

Wacha ibaki hivi kwa usalama wa watumiaji waliopo ndani, wanje wanje wa ndani ndani.
JF sio fesibuku wala instagiramu

#Hallelujah!!!
 
Good idea bt to wrong place and wrong people
 
Kitu ambacho hujakijua ni kwamba Mwafrika ana allergy na maandishi yasiyo na picha wala Video.

Ndiyo maana kuna usemi unasema ukitaka kumficha mwafrika kitu kiweke kwenye mfumo wa Maandishi.

Kwahyo hata ufanye promo ni kazi bure wengi wanataka social network zenye picha na video hasa zinazohusu udaku.
 
Huu ni ukweli mkubwa Sana boss

Kwa nini tusipromoti tuwaache watu waamue wenyewe?
 
Back
Top Bottom