mshindi kivipi na familia nzima imekataliwa na EU gentleman?Mpaka hapo Lissu ni mshindi,kuingia kwenye hiyo top 3 ni ushindi tosha!Angalia Africa nzima,ni Lissu ndio kafanikuwa kupenya top 3!
Kwa Tafsiri rahisi,Africa nzima ni Lissu ndio kaibuka kinara kwenye nyanja hiyo!
Lakini Lissu kaenda kupambanishwa na ICC,yaani mtu mmoja dhidi ya taasisi kubwa kama ICC!Kwakweli hiyo ni heshima kubwa sana kwa Lissu na watanzania!
Huelewi,mpaka unakuwa nominated kuwania tuzo hiyo inamaana Mchango wako umeonekana na kutambulika!Wewe unadhani mpaka kufikia hatua hiyo ni kwa bahati nasibu!mshindi kivipi na familia nzima imekataliwa na EU gentleman?
mwenyekiti wa tuzo McAllister amekataliwa wabunge EU, mgombea wake na poroja zake nae amekataliwa, sasa ushindi uko wapi hapo kwa mfano gentleman?🐒
Hivi Samia aliingia hata kwenye hamsini bora ya tuzo hizo?Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒
Mungu ibariki Tanzania
" AMONG THE TOP THREE"Kuingia kwenye kinyang'aniro cha kuwania hiyo tuzo huo pia ni ushindi.
Maana kazi yake imetambulika na walimwengu.
kinachoendelea katikati ya hawa jamaa kinajulikana gentleman.Huelewi,mpaka unakuwa nominated kuwania tuzo hiyo inamaana Mchango wako umeonekana na kutambulika!Wewe unadhani mpaka kufikia hatua hiyo ni kwa bahati nasibu!
Ukweli huu mnaujua ila Sijui kwanini Huwa mnajizima data!

Ndugu punguza kupiga ramli,hebu tuletee hayo maswali ambayo unadai wamejiuliza?Wewe umeyapata kutoka source gani?kinachoendelea katikati ya hawa jamaa kinajulikana gentleman.
na kilichotokea kinafaa kuchukuliwa kama ujumbe maalumu wa kukataa uchafu na utovu wa kimaadili.
ulaya imekataa uchafu wazi wazi kabisa tena kwa aibu.
David McAllister ndie mwenyekiti wa kamati ya haki za binadamu katika bunge la EU, ndie alietangaza na kuendesha mchakato wa kupata mshindi wa tuzo hiyo muhimu mwaka huu2026.
Na bila aibu,
David McAllister akampa kipaumbele mtu wake Lisu na akamfanyia kampeni ya nguvu sana miongoni mwa wabunge wa EU na wadau wa haki za binaadamu duniani, but porojo zake hazikueleweka kwa watetezi wengi wa haki za kibinadamu.
Na watetezi wengi wa haki za binadamu walijiuliza,
hivi kulikoni mtu muhaini anaesota korokoroni na anaesubiri hukumu, akawa mtetezi wa haki za binadamu? Muhaini anakuaje mtetezi wa haki za binadamu?
Kilichofuata ni aibu tunayoishuhudia hivi sasa![]()
Gentleman,Ndugu punguza kupiga ramli,hebu tuletee hayo maswali ambayo unadai wamejiuliza?Wewe umeyapata kutoka source gani?
Unaweza kujenga hoja bila kutengeneza habari za kufikirika!
Kwenye hizo tuzo,wawania tuzo walikuwa 3,na Lazima mmoja ashinde!Lissu amepata heshima kubwa kushindanishwa na taasisi kubwa kama ICC!
Lissu katuheshimisha watanzania,amepambania demokrasia na utawala wa Sheria nchi hii kwa miaka mingi!Kuonekana tu kwenye hiyo 3 Bora,ni heshima kwake na Taifa!Gentleman,
Tundu Lisu hakustahili kabisa hata kuonekana kwenye orodha ya watetezi wa haki za kibinadamu,
In fact,
David McAllister mwenyekiti wa kamati ya haki za binadamu bunge la ulaya ndie alietumia mamlaka yake vibaya kumuweka kwenye orodha ya juu kabisa mtu ambae hakustahili hata kuorodheshwa kabisa.
In fact,
kuangukia pua kwa Tundu Lisu, ni pigo baya zaidi kwa David MccAlliester kwenye bunge la ulaya🐒
Kivip gentleman wakati aliemchomeka tombo joto hivi sasa huko aliko?Lissu katuheshimisha watanzania,amepambania demokrasia na utawala wa Sheria nchi hii kwa miaka mingi!Kuonekana tu kwenye hiyo 3 Bora,ni heshima kwake na Taifa!
Hizo porojo nyingine hazina nafasi maana hata angeshinda,bado mngekuja kwa angle nyingine kumdiscredit Lissu!
Lissu ameshashinda tuzo nyingi za kimataifa,kwahiyo alistahili kufika hapo top 3!

Swali linaendana na mada kwanini mama hakuchaguliwa kushiriki tuzo hizo wakati yeye ni bingwa wa demokrasia nchini?Gentleman,
huna haja ya kubabaika na watu wenye dhamana ya kuongoza nchi na kuwatumikia waTanzania.
Jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaid🐒
We mmbulu hao walioangamiza familia za hao wengine wapo wapi tokea octoba mwaka Jana? Unajua wewe ni Zero na kwenye hoja za msingi unakuwa kimya kama umeukalia mdudu wa Abdul unakatikia ila kwenye porojo kiharag€ kinakucheza muda wote🚮kukinukisha ili familia za wengine ziangamie imekua haki ya kupewa tunzo now days right?
HakikaKuingia kwenye kinyang'aniro cha kuwania hiyo tuzo huo pia ni ushindi.
Maana kazi yake imetambulika na walimwengu.
Usidhani mtu anachomekwa tu kienyeji,ni process!Kivip gentleman wakati aliemchomeka tombo joto hivi sasa huko aliko?![]()