Tazama ewe mwanangu mpendwa Bujibuji Simba Nyamaume uungurumaye ngurumo kubwa kuliko radi, mimi BWANA MUNGU wako ninasema nawe muda huu.Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ?
Huwa wanasikia sauti yake mungu?