Mchengerwa ni mwizi Hana credibility ya kumshutumu mtu yeyote kwa ufisadi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Hii kitu ni nzuri kwa Watanzania watu CCM kugombana wenyewe kwa wenyewe.

Lakini mchengerwa ni fisadi na mwizi hawezi kumshutumu Mtanzania yeyote

Zile frem za mbagala pembeni ya kituo Cha mwendokasi atuambie ametoa wapi pesa za kujanga frem pale?.
 
Pesa za kujenga anaweza akawa nazo.....issue ni kwamba tanroads ilikataa zisijengwe pale but c unajua mkwee akalazimisha
 
Hii kitu ni nzuri kwa Watanzania watu CCM kugombana wenyewe kwa wenyewe.

Lakini mchengerwa ni fisadi na mwizi hawezi kumshutumu Mtanzania yeyote

Zile frem za mbagala pembeni ya kituo Cha mwendokasi atuambie ametoa wapi pesa za kujanga frem pale?.
CCM ni matakataka yote, lakini hilo haliondoi ukweli wa alichokisema Mchengerwa.
 
Ila alchokisema ni sahihi kabisa......tuna vijana wa ovyo sana waliojificha kwenye siasa......
Amesema kweli, hao vijana wa ccm wamezoea kuomba hela hadi imekuwa kero. Ila Mchengerwa atambue wanamuomba kwakuwa wanajua ana hela za wizi, na ccm ni chama kilichochokwa, huwezi kukitetea bila kulipwa.
 
Back
Top Bottom