History ina jirudia kila mtu kubaki na nchi yake

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Trump watu wana mshambulia ila kinachofata kwa sasa msije kulaumu nyie mnaokimbilia nchi zao.

Wachina wanaanza kukusanya vyao.

Najiuliza UK itakuwa arabic au Iran kuwa saudia .

Dunia ya sasa kuna series inaitwa ze Babylon ya mwaka 90 na nyengine star war's japo imepunguzwa ukwali.
 
Ila ukweli hizi vita zimeleta changamoto Sana kwa nchi nyingi, kote vyuma vimekeza, tutarajie vurugu zaidi Hali ikiwa hivi. Trump ni mwendawazimu
 
Walugaluga wakipata simu janja wana tabu sana,
Wanaungaunga taarifa hazina kichwa wala miguu
 
Trump watu wana mshambulia ila kinachofata kwa sasa msije kulaumu nyie mnaokimbilia nchi zao.

Wachina wanaanza kukusanya vyao.

Najiuliza UK itakuwa arabic au Iran kuwa saudia .

Dunia ya sasa kuna series inaitwa ze Babylon ya mwaka 90 na nyengine star war's japo imepunguzwa ukwali.
Hongera kwa kutoa post.
 
Wazungu ndio walioanza kwenda kwenye nchi za wenzao since 1700s

Ukisema kila mtu abaki kwenye nchi yake ina maana uwaambie hao wazungu na hasa US aache kuvamia mataifa ya wenzake na kuharibu nchi za wenzake,ashughulike na mambo ya nchi yake tu,

US ndio mzalishaji mkuu wa hao wakimbizi,ameharibu nchi nyingi sana,kaiharibu Libya,Afghanistan,Syria,Iraq na sasa anapigana na Iran,siasa zake pia ndio zinasababisha ugumu wa maisha hasa kwenye nchi za Africa,

Unapojadili matatizo fulani,jaribu kuangalia root cause ya hayo matatizo,angalia chanzo kilicholeta hayo matatizo,

Wakimbizi ni matokeo ya siasa zao and now they are paying the price of what they did,sababu zinazowafanya wakimbizi kwenda huko ni exactly the same reason why the English was leaving England and going to other countries since 1700 s
 
Eti tangu wale juntaz wamiliki mali asili zao, ufaransa inapitia msotoo sanaaa😥
 
Wakati angali kijana nilizani Marekani ni taifa safi, sasa nimekuwa mtu mzima nayaona mapembe yake,Usaliti, Ulafi,Wizi, Uchoyo, Uzinzi na dhambi nyingine ambazo hata sizijui!
 
Wazungu ndio walioanza kwenda kwenye nchi za wenzao since 1700s

Ukisema kila mtu abaki kwenye nchi yake ina maana uwaambie hao wazungu na hasa US aache kuvamia mataifa ya wenzake na kuharibu nchi za wenzake,ashughulike na mambo ya nchi yake tu,

US ndio mzalishaji mkuu wa hao wakimbizi,ameharibu nchi nyingi sana,kaiharibu Libya,Afghanistan,Syria,Iraq na sasa anapigana na Iran,siasa zake pia ndio zinasababisha ugumu wa maisha hasa kwenye nchi za Africa,

Unapojadili matatizo fulani,jaribu kuangalia root cause ya hayo matatizo,angalia chanzo kilicholeta hayo matatizo,

Wakimbizi ni matokeo ya siasa zao and now they are paying the price of what they did,sababu zinazowafanya wakimbizi kwenda huko ni exactly the same reason why the English was leaving England and going to other countries since 1700 s
Ahsante! Umemaliza!
Kote: Somalia, Ethiopia, Sudan, Congo DR, n.k kote kuna mkono wa US na Israel
 
Back
Top Bottom