Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka.
Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu, kuweka akiba au kubadilisha maisha yao kwa namna fulani. Lakini je, kutotimiza mipango hiyo kunamaanisha wameshindwa?
Mimi naomba kuuliza mambo haya mawili ndugu zangu,
Je, kuishi bila mipango kunaweza kumkwamisha mtu kufikia mafanikio yake?
au
Je, ni lazima mtu awe na mipango maalumu ili afanikiwe, au wakati mwingine ni bora kuishi na kwenda na hali halisi ya maisha?