mtu

  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  2. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu leo duniani Lipshine ilizidi Mdomoni halafu alikuwa akiongea so Sexy hasa hasa akiwa anamalizia kutoa Maelekezo

    Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni. ANGALIZO Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika Jukwaa gani ili tusije Kutibuana mbeleni.
  3. N

    Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

    Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi...
  4. Braza Kede

    Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  5. Eli Cohen

    Eti mtu anaulizia validation ya Lissu katika chama. Are you serious?!!! This guy almost died kwa ajili ya chama!

    Jambo la kusikitisha zaidi kuhusu usaliti ni kwamba hautokani na adui zako. Sio lazima Lissu achaguliwe ila mpinge mwamba kwa hoja maalum, tena kwa heshima kubwa, ila sio kwa dharau na kejeli utafikiri damu yake haikuwahi kumwagika kwa ajili ya mapambano yenu.
  6. O

    Napata kigugumizi mtu anahonga pesa ili awe mbunge

    CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE... RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita Fred Vunjabei huko Iringa. Anatoa wapi hela ya kulipa madiwani 1,000,000/= TZS ,wenyeviti wa mitaa...
  7. Top007

    Kazi ya kutafuta masoko

    Habari ( Salesperson Needed ) NB: Tunaitajii watu 5 kwa ajili ya kutafuta masoko ya bidhaa za umeme Eneo : Kibamba Mshahara:: 800,000/= Kwa mwez Call / Text : 0614502969 Kwa maelezo zaidi
  8. GENTAMYCINE

    Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  9. GENTAMYCINE

    Chukueni hii moto moto: Pacome alikuwa haumwi bali alichukia kuona Kocha anamuanzisha Benchi wakati Yeye si Mtu wa Benchi

    Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome alichukia sana hadi akawaambia Viongozi kuwa kama vipi atahamia Mtaa wa Pili kwenye Raha sasa.
  10. Financial Analyst

    Kuna namna mtu akipata pesa anakuwa na kiburi cha uzima cha hyper pro max

    Majuzi dogo moja gari namba E ya harrier alikuja duka fulani kununua bidhaa. Sasa alipopaki pembezoni mwa duka ng'ambo ya pili ya bara bara kuna lori kubwa la mzigo, kumaanisha alitengeneza double parking ambayo ilipelekea bara bara kuwa finyu. Sasa jamaa mmoja wa bajaji ya mizigo akatokea kwa...
  11. Graxsam

    Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze...
  12. Mwachiluwi

    Nilifunga ndoa na mtu nisie mpenda

    Katika Maisha, kila mmoja anakuwa na ndoto kubwa yenye kumpa furaha Maishani mwake,hata wewe una ndoto ambayo siku moja ikitimia utakuwa ni mwenye kufurahi sana.Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Robson, alisoma, alipata kazi nzuri iliyomuingizia pesa nyingi, alikuwa na muonekano mzuri, mtanashati...
  13. stabilityman

    Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
  14. Mshana Jr

    Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

    Ilikuwa hivi: Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles, Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao, Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki) 2.thamani ya mama , 3.Lopez 4.MUNGU. Ktk...
  15. ngara23

    Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

    Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano. Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
  16. K

    Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa letu ila Taifa letu Lina ushabaki wa wa upendeleo wa chama tawala

    Mwenyezi Mungu tupe Lisu awe Rais wa JMT
  17. M

    Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

    Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
  18. Daudi Kempu

    Hakuna mtu mkamilifu

    Sisi sote hufanya makosa, Tunasema vibaya, Tunafanya vibaya, Tunaanguka,tunainuka Tunajifunza,tunakua Tunasongambele tunaishi, Tunamshukuru MUNGU kwa kutupa nafasi nyingne daima, tujifunze kusamehe
  19. K

    Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  20. DR HAYA LAND

    Naomba mtu mwenye mawasiliano ya mwenyekiti wa UWT Taifa anisaidie au barua pepe yake.

    Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika. Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM. #Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
Back
Top Bottom