Je mtu unaweza kujifunza kuendesha pikipiki Kama hujawahi jifunza baiskeli?

mimimi1022

New Member
Joined
Sep 6, 2026
Posts
3
Reaction score
5
Wakuu Nina miaka 34 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.

Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?

Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?

Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
 
Inawezekana vzr kabsa ingawa inachukua kidg muda tofauti na mwenye uzoefu WA baiskeli
 
Wakuu Nina miaka 34 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.

Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?

Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?

Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
jamaa yangu hakukuwa na baiskeli hata za washkaji??
 
Back
Top Bottom