Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
Kutokana na matendo ya wanafunzi wa kike wanayo yafanya mitaani baadhi ya Wadau wametoa maoni huku wakisema inatakiwa serikali ikae chini ipitie tena Ile adhabu ya miaka 30 Mtu akitembea na Mwanafunzi.
Mdau mmoja anasema Ile Sheria ilistahili Kwa miaka Ile ambapo wazazi walikuwa wakitimiza malezi yote Kwa watoto wao wa kike, ila Kwa Sasa kumfunga mtu miaka 30 kisa katembea na hawa wanafunzi wa hivi ni kumuonea.
Pia wadau hao wame shauri kuwa tunako elekea wata fungwa wengi Kwa sababu hawa watoto matendo yao ni mazito sana na mwanaume Kuna kupitiwa.
Wadau wame Maliza Kwa kusema, haya matendo mabaya Kwa watoto wa kike huanzia nyumbani, hivyo mtoto wa shule anapo bainika kutembea na mtu basi hata wazazi wao wafungwe hiyo inaweza kusaidia.
<<<<
Naomba kwenye hili tutoe maoni, hii inakuwaje Dunia ya Sasa?
#fightcoronavirus #Kenya #tanzania