ni faida zipi mtu anazipa akiungwa kwenye chama cha TALGWU

cnx

Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
6
Reaction score
6
Nabaki na maswali mengi sana najiuliza kwanza nilazima kujiunga na chama cha TALGWU pale tu unapo ajiliwa. maana nimekutana na makato nika shindwa kuelewa nilivyo jaribu kuulizia nikashauliwa nimuone afisa utumishi basi nikawa nimefanya hivyo lakin majibu nilio pewa ni kwamba ni lazima kila mtumishi wa umma kua kwenye chama kimoja cha mfanya kazi nikajaribu kuulizia kuhusu kujitoa nikaambiwa haiwezekani sasa na baki kujiuliza hiki chama kina faida gani kwangu maana kuna watu wanasema hakuna faida yoyote zaidi ya kupewa T shirt na kofia mwisho wa mwaka kitu ambacho kimenipa hasira sana kiukweli
 
Kupata tishite za kuvaa maana mishahara haitoshi
​
17665.jpg
 
Huo mfumo umewekwa na serikali yako ya CCM ili kukunyonya.
TUGHE,TALGWU,WCF havina msaada wowote.
Baadae watakuletea track suit ulipie elfu 80
 
Vyama vyote vya wafanyakazi nchi hii, havina Faida na maana yoyote kwa mfanyakazi....
Kazi yao ni kuwanyonya wanachama wao kwa makato makubwa ya kila mwezi..
 
Huo mfumo umewekwa na serikali yako ya CCM ili kukunyonya.
TUGHE,TALGWU,WCF havina msaada wowote.
Baadae watakuletea track suit ulipie elfu 80

Ondoa WCF hapo, kama hujapata tatizo huwezi kuelewa faida yake
 
Ndio uelezee sasa kimekusaidiaje ili wengine wajifunze inaweza ikawa hata hivyo vingine vinasaidia ila sababu hakuna mtu anaeshuhudia ndio maana vinaonekana vya hovyo ndio lengo na dhumuni la mleta mada kuanzisha huu uzi kupata mashihidi waelezee
 
Tulia ulambe dawa Mkuu.

Sasa hivi wahuni wanashawishi hadi wastaafu wawe na chama cha kutetea maslahi yao ili wawe wanafyekwa hiyo 2% ya monthly pension.

Kupumzika ni kaburini tu.
 
Back
Top Bottom