Serikali na Chama kutokuomboleza MO29 ni kudogosha thamani ya uhai wa mtu

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Huwezi kuamini lakini siku ya jana ilipita pasipo kusikia wala kuona Chama na Serikali vikiomboleza. Sio kwamba ni kuku, No, ni watu zaidi ya miatano waliuawa ndani ya siku tatu.

Huku ni kutweza thamani ya uhai
 
chama na serikali ndyo waliua.nani aliwapa green guard silaha?
 
tafsiri yake serikali ni haramu!serikali inayojua wajibu wake haina ubaguzi fikiria KINGAI anasema lissu anyongwe wakati cheo chake ni kodi za wananchi yaani huduma kwa raia lakini anaonesha kuwa ni dictator
 
Huwezi kuamini lakini siku ya jana ilipita pasipo kusikia wala kuona Chama na Serikali vikiomboleza. Sio kwamba ni kuku, No, ni watu zaidi ya miatano waliuawa ndani ya siku tatu.

Huku ni kutweza thamani ya uhai
Sasa wao ndio walioagiza watu wauawe.

Wangeomboleza ungeona afadhali wameua lakini wameomboleza?
 
Huwezi kuamini lakini siku ya jana ilipita pasipo kusikia wala kuona Chama na Serikali vikiomboleza. Sio kwamba ni kuku, No, ni watu zaidi ya miatano waliuawa ndani ya siku tatu.

Huku ni kutweza thamani ya uhai
Hakika
 
Hao badala ya kuomboleza jana walikuwa wanapongezana for a job well done.
 
Haya tusema Oktoba 29 ni siku ya kuombeleza vifo vilivyotokea , sasa ni vipi kati ya hivi
1. Vya wale waliokuwa wanavunja maduka ya watu
2. Vya wale waliokuwa wanachoma moto mali
3. Vya askari waliouawa wakitimiza wajibu wao
4. Vya wale waliokufa bahati mbaya katika kudhibiti kundi la 1 na la 2.
5. Vya wote hapo juu
 
Back
Top Bottom