PostGE2025 Azim Dewji: Wanataka kuleta vurugu halafu wasingizie hakuna HAKI Tanzania

PostGE2025 Azim Dewji: Wanataka kuleta vurugu halafu wasingizie hakuna HAKI Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.

Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.

Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.

Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
 
Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.

Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Nakubaliana na wewe. Nyerere alishawahi kuandika kwamba viongozi wamepata majibu mepesi ya mambo yanayowahusu wao... Jibu ni MABEBERU wamesababisha, hivi hata MAUAJI ya kutisha ya October nayo ni BEBERU!
 
Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.

Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.

Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.

Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Wezi wakubwa hawa. Hawana lolote unategemea Dewji.aitakie mema Tanzania wa
 
Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.

Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
wanasema kuna rasilimali wakati hata kuwapa watu MAJI SAFI NA SALAMA ya kunywa wameshindwa?????
mwezi wa ngapi huu DAR hakuna maji kabisa? Moro yenyewe iliyozungukwa na mito haina maji
wehu hawa
wameua watu kisha wanawasingizia mazungu wa watu?
mzungu ndiye alowafungia walimu wawapigie kura mjitangaze mmepata 98% kwa kipi haswa?
upate 98% kisha ukajifiche NGERENGERE? Unamkimbia nani?
 
Huyo garbachori arudi kwao india wanatumika sana na serikali ya ccm kutakatisha fedha.
 
Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.

Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Helium ya USA itakuwa inatengeneza super profit.

Kimsingi, kwa kuchimba Helium, Tanzania is going to replace USA as the largest producer of Helium.

Hizi ni baadhi ya sababu zilifanya CCM wakatae katakata kuondoka au ku-risk kuachia uongozi kwa Chadema, hata kama ni kufungulia watu kesi za uhaini au kuua watu. Msimamowaoilikuwa wa-retain uongozi wa nchi by hooks and crooks, hata kama kila mtu anaona wazi wanacheza faulo au wanaiba kura. They just had to win,one way or another.

Chadema angeingia katika hii miaka mitano ijayo angeingia katika mazingira ambayo revenue ya Tanzania iko juu sana, kiasi kwamba watu wangedhani ni kwa ajili ya uongozi ulio bora kuliko wa CCM kumbe ni sababu Chadema wangekuwa na fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya jamii.
 
Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Heluim ya USA itakuwa inatengeneza super profit.

Hizi ni baadhi ya sababu zilifanya CCM wakatae katakata kuondoka au ku-risk kuachia uongozi kwa Chadema, hata kama ni kufungulia watu kesi za uhaini au kuua watu.

Chadema angeingia katika hii miaka mitano ijayo anheingia katika mazingira ambayo revenue ya Tanzania iko juu sana, kiasi kwamba watu wangedhani ni kwa ajili ya uongozi ulio bora kuliko wa CCM kumbe ni sababu Chadema wangekuwa na fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya jamii.
sasa hii ina mahusiano gani na walimu kufungiwa ndani ya ofisi za serikali ili kutia tiki kwa SAMIA? hata akapata 98%? ushahidi upo kwani baada ya hapo alikimbilia NGERENGERE jeshini kujificha
 
Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.

Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Helium is an extremely significant and critical commodity due to its unique, irreplaceable physical properties and limited supply on Earth. Its monetary value is high and volatile, with prices increasing significantly in recent years due to high demand and supply constraints

Significance of Use

Helium's significance stems from properties unmatched by any other element, such as being non-reactive (inert), having the lowest boiling point, and diffusing very quickly. These qualities make it indispensable in many high-tech and critical applications:
  • Medical Technology: Liquid helium is the primary coolant for the superconducting magnets in MRI and NMR machines, which are vital for medical diagnostics and scientific research.
  • High-Tech Manufacturing: It is a critical component in the manufacturing of semiconductors and fiber optic cables, providing the inert atmosphere needed to prevent defects and ensure product integrity.
  • Aerospace & National Defense: Helium is used as a powerful pressurizing agent for liquid fuel rockets and in scientific balloons for NASA experiments.
  • Leak Detection: Due to its small atomic size and high diffusivity, helium is the preferred gas for detecting minute leaks in high-pressure systems, pipelines, and automotive components (like EV batteries and HVAC systems).
  • Cryogenics and Research: It is essential for cooling applications that require temperatures near absolute zero, such as in the Large Hadron Collider and the emerging field of quantum computing
Monetary Value

The monetary value of physical helium is high and subject to significant volatility, driven by a global supply-demand imbalance and geopolitical factors.
  • Price Increases: Prices have surged dramatically in recent years. For instance, the price for crude helium sold by the U.S. government more than doubled from approximately $9.88/m³ in 2019 to $21.18/m³ in 2023.
  • High-Value Product: Liquid helium is a high-value product, with laboratory prices ranging from $3 to $20 per liter, approximately 100 times the cost of liquid nitrogen.
  • Market Dynamics: The global market for helium has a value of approximately $4.5 billion per year. Supply is often a by-product of natural gas extraction, making it inflexible and susceptible to disruptions (e.g., plant outages or geopolitical issues), which cause price shocks and have driven up investment in new primary helium exploration projects.
  • Cryptocurrency Note: A separate, unrelated digital currency also named "Helium" (HNT) exists, which has a market value tied to its use in a decentralized wireless network. Its price is highly volatile like other cryptocurrencies and is separate from the commodity market
Sasa ni kwamba, kampuni inayochimba Helium nchini, Helium One, ni ya USA. Sasa hapo ndipo katika zama za Trump tulienda kinyume raisi anachukuliwa Maduro!


The Company’s flagship southern Rukwa Project is located within the southern Rukwa Rift Basin in south-west Tanzania. This project is entering a full appraisal and development stage following the success of the 2023/24 exploration drilling campaign, which led to a helium discovery at Itumbula West-1 and, a successful extended well test (“EWT”), which flowed 5.5% helium continually to surface in Q3 2024.

Following the EWT, the Company filed a Mining Licence (“ML”) application with the Tanzania Mining Commission in September 2024. The 480km2 ML was offered to the Company, was officially accepted in March 2025 and the associated regulatory agreements are now being finalised.

The Company also owns a 50% working interest in the Galactica-Pegasus helium development project in Las Animas County, Colorado, USA. This project is operated by Blue Star Helium Ltd (ASX: BNL) and successfully completed a six well development drilling campaign in H1 2025. The completion of the development programme is a key component of the broader Galactica-Pegasus development strategy; aimed at progressing the helium and CO2 discoveries to near-term commercial production.
 
Gabacholi hataki HAKI kabisa?! Ameeleweka, yeye na watu wake washughulikiwe bila HAKI.
 
Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Helium ya USA itakuwa inatengeneza super profit.

Kimsingi, kwa kuchimba Helium, Tanzania is going to replace USA as the largest producer of Helium.

Hizi ni baadhi ya sababu zilifanya CCM wakatae katakata kuondoka au ku-risk kuachia uongozi kwa Chadema, hata kama ni kufungulia watu kesi za uhaini au kuua watu. Msimamowaoilikuwa wa-retain uongozi wa nchi by hooks and crooks, hata kama kila mtu anaona wazi wanacheza faulo au wanaiba kura. They just had to win,one way or another.

Chadema angeingia katika hii miaka mitano ijayo angeingia katika mazingira ambayo revenue ya Tanzania iko juu sana, kiasi kwamba watu wangedhani ni kwa ajili ya uongozi ulio bora kuliko wa CCM kumbe ni sababu Chadema wangekuwa na fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya jamii.
Unaweza kunipa chanzo au vyanzo vya hayo uliyoyasema?

Kama ni stori tu ambazo na wewe ulisimuliwa na mtu au watu, sema tu.
 
Back
Top Bottom