Akinyamaza na kuendelea kutafuna tambuu itamsaidia azeeke na kufa vizuri.Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Ni kweli. Kwa machawa tena magabacholi hili ni kweli. Haki ni wao kuendelea kutuibia, kututumia na kutunyonya ukiachia mbali kutubagua na kutudharau. Ashindwe na aregee gabacholi mkubwa.Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Hawa ndiyo wafaidika wa mfumo wa sasa. No wonder wakati wa JPM walimute.Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Helium ya USA itakuwa inatengeneza super profit.
Kimsingi, kwa kuchimba Helium, Tanzania is going to replace USA as the largest producer of Helium.
Hizi ni baadhi ya sababu zilifanya CCM wakatae katakata kuondoka au ku-risk kuachia uongozi kwa Chadema, hata kama ni kufungulia watu kesi za uhaini au kuua watu. Msimamowaoilikuwa wa-retain uongozi wa nchi by hooks and crooks, hata kama kila mtu anaona wazi wanacheza faulo au wanaiba kura. They just had to win,one way or another.
Chadema angeingia katika hii miaka mitano ijayo angeingia katika mazingira ambayo revenue ya Tanzania iko juu sana, kiasi kwamba watu wangedhani ni kwa ajili ya uongozi ulio bora kuliko wa CCM kumbe ni sababu Chadema wangekuwa na fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya jamii.
Gen Z awamu ijayo ya maandamano matukufu huyu mzee msisahau kumpa salamu, anzeni kukusanya taarifa za vilipo vitege uchumi vyake maana hana adabu amechoka kuishi nchi hii.Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Azim.Arudi kwao India mdhulumati mkubwa huyu chawa mzeeMfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Zote, kwanza yule nguin huenda alimaanisha Helium akajichanganya na Uranium, kama wale walioiita petition petro-station!Wewe unazungumxia Helium wakati Mwigulu anayuambia ni Uranium.... which is which?
Believe or leave it. Your skepticism is no skin off my nose.Unaweza kunipa chanzo au vyanzo vya hayo uliyoyasema?
Kama ni stori tu ambazo na wewe ulisimuliwa na mtu au watu, sema tu.