Ramisilimali zinazomezewa mate na wageni kutoka India ni mbaazi,korosho na ufutaTanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Ramisilimali zinazomezewa mate na wageni kutoka India ni mbaazi,korosho na ufutaTanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Unaongelea our "delusions of grandeur?"Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Wanaogopa kufungwa,kunyongwa n.k Madaraka kwao ni kama Maji kwa samakiCCM bwana, sasa si waache kuiba uchaguzi
Laba wanaongelea serengeti na ngorongoro. Au pale watu wanappjirusha kwenye maji zanziba.Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Naongelea uongo uongo wanaoaminishwa Watanzania wakati hata madawati tu kwenye shule msingi hakuna!Unaongelea our "delusions of grandeur?"
Amandla...
Sisi ni masikini wa kutupwa.Laba wanaongelea serengeti na ngorongoro. Au pale watu wanappjirusha kwenye maji zanziba.
Hua ninawaeleza watu hawaelewi. Yaani kama wanakuja hapa nchini labda warudishe ukoloni tuendelee kuwalimia pamba kilazima. lakini chakuchukua hapa sikioni.. Labda matwiga hayo na matembo.Sisi ni masikini wa kutupwa.
Hakuna anayetumezea mate.
Hii nchi siku hizi imekuwa ya kijinga sana. Uchawa umekuwa ni kila kona.Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Ni kweli Helium reserves duniani kubwa zipo Tanzania. Wadau ni Scandvians, hii ya US of America Sijui imetoka wapi. SpinSisi ni masikini wa kutupwa.
Hakuna anayetumezea mate.
Anyamaze tu hatopungukiwa! Yeye ana urais wa nchi tatu yaani Tanzania, India na UK. Hayamhusu kabisa, aendelee kulinda biashara yake ya ngada!Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Ni uharo gani huu jamani!Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Helium ya USA itakuwa inatengeneza super profit.
Kimsingi, kwa kuchimba Helium, Tanzania is going to replace USA as the largest producer of Helium.
Hizi ni baadhi ya sababu zilifanya CCM wakatae katakata kuondoka au ku-risk kuachia uongozi kwa Chadema, hata kama ni kufungulia watu kesi za uhaini au kuua watu. Msimamowaoilikuwa wa-retain uongozi wa nchi by hooks and crooks, hata kama kila mtu anaona wazi wanacheza faulo au wanaiba kura. They just had to win,one way or another.
Chadema angeingia katika hii miaka mitano ijayo angeingia katika mazingira ambayo revenue ya Tanzania iko juu sana, kiasi kwamba watu wangedhani ni kwa ajili ya uongozi ulio bora kuliko wa CCM kumbe ni sababu Chadema wangekuwa na fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya jamii.
Hata hizo zilizopo wanazichukua bila hayo machafuko.Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
RAIA FEKI WAMEANZA KUTAPA TAPA BAADQ YA KUBAINIKA ....Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
Hawa watu ni wapuuzi sana! Tanzania ni moja ya nchi 25 masikini sana Duniani. Hizo rasilimali zinasaidia nini na zinamezewa mate na nani. Uchumi wa California ni wa 5 kama si 6 Duniani, nani aje kumezea mate TzSisi ni masikini wa kutupwa.
Hakuna anayetumezea mate.