homeboy 255
New Member
- Jul 9, 2024
- 3
- 1
Habari wadau,
Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.