Je, maridhiano ni kati ya Vyama vya Siasa au Serikali na Wananchi?

Je, maridhiano ni kati ya Vyama vya Siasa au Serikali na Wananchi?

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Baadhi yetu Wananchi hatujui maridhiano yamelenga nani kati ya Vyama vya Siasa au Serikali na Wananchi
 
Vyama vinaridhiana nini? Mmoja ameshinda kwa asilimia 98% wengine walikubali kushindwa na walihudhuria kwenye uapisho, mwingine hata uchaguzi wenyewe hakuutaka na hakushiriki lakini wananchi waliuliwa
 
Nashindwa kujua hayo maridhiano ya Lissu ni ya Wananchi au kwa CHADEMA na Serikali
 
Kwani kuna maridhiano ya Lissu labda kama wanataka kuyajenga kuhusu zile risasi 16 za mwaka 2017 lakini kuhusu ya October 29 aje kwa wananchi atueleze imekuaje kuaje kutuulia ndugu zetu ambao hawakuwa hata na fimbo
Ewaa hapo sawa, kwasababu tunashindwa kuelewa tunaposikia maridhiano na CHADEMA badala ya Serikali na Wananchi
 
Back
Top Bottom