Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi kama vile CHADEMA.

Hii itasaidia pakubwa sana katika katika kujenga msingi imara na madhubuti na kuharakisha mchakato muhimu sana wa katiba mpya ya waTanzania wote.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Naona unadhani cdm wanataka huo upuuzi. Huo ukhanithi shirikini na vyama vyenu mnavyoviburuza. Cdm wameshatoka kwenye siasa za hadaa.
Lakini ikiwa ni hivyo,
mayowe na masharti kibao hivi yanini sasa kwa mfano gentleman,

na wakati chama chenyewe hata sifa tu za kisheria za kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa au uchaguzi mkuu hawana.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise 🐒
 
Hizo chaguzi za kishenzi mtawapata hivyo vyama vyenu mnavyovishika masikio. Cdm huko wameshatoka kwenye huo utumwa. Yaani cdm ni kama jini lilitoka kwenye chupa.
 
Kweli ww ni khuntha
 
Hizo chaguzi za kishenzi mtawapata hivyo vyama vyenu mnavyovishika masikio. Cdm huko wameshatoka kwenye huo utumwa. Yaani cdm ni kama jini lilitoka kwenye chupa.
relax bas gentleman, tuliza mihemko kidogo,

halafu hilo jini nadhani halina haja ya kuzingatiwa sana kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa ya waTanzania, nadhani itapendeza zaidi , au unaonaje?🐒
 
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi kama vile CHADEMA.

Hii itasaidia pakubwa sana katika katika kujenga msingi imara na madhubuti na kuharakisha mchakato muhimu sana wa katiba mpya ya waTanzania wote.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hili swala likiachiwa vyama vya siasa pekee Bado vitavurunda
 
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi kama vile CHADEMA.

Hii itasaidia pakubwa sana katika katika kujenga msingi imara na madhubuti na kuharakisha mchakato muhimu sana wa katiba mpya ya waTanzania wote.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260722-205427~2.png
 
relax bas gentleman, tuliza mihemko kidogo,

halafu hilo jini nadhani halina haja ya kuzingatiwa sana kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa ya waTanzania, nadhani itapendeza zaidi , au unaonaje?🐒
cdm hawana muda na maridhiano na matapeli wala hawayatamani. Usidhani wanatamani. Maridhiano na wanauaji sio kwa cdm mzee.
 
Back
Top Bottom