Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando, Masumbuko Lwamwai waliwasaliti wenzao wakawafukuza, Mtikila akaanzisha Democratic Party (DP), Fundikira akaanzisha (UMD), wao wakaongeza neno MAGEUZI, kamati ikajigeuza kuwa chama cha siasa kikaitwa NCCR-Mageuzi.
Mwaka 1995 Augustine Mrema alijiunga na chama hicho na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti na Selasini akawa Msaidizi wake.
Mwaka 1997 Selasini akiwa na wenzake kina Marando wakamfukuza Mrema akajiunga na TLP.
Mwaka 2009 Selasini alijiunga na Chadema baada ya kuivuruga NCCR-Mageuzi.
Mwaka 2020 Selasini aliondoka Chadema na kurudi NCCR-Mageuzi.
"Mbunge wa Rombo kupitia Chadema, Joseph Selasini ametangaza kukihama chama chake na kujiunga na NCCR - Mageuzi. Amedai amefikia uamuzi huo baada ya kuondolewa kwenye grupu rasmi la kazi WhatsApp la Chadema bila kupewa sababu za kuondolewa".
Mwaka 2020 Selasini alianzisha vurugu ndani ya NCCR-Mageuzi, akishirikiana na Naibu Msajili wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza walifanikiwa kumuondoa James Mbatia kwenye nafasi ya Uenyekiti.
Mwaka 2026 Selasini amerudi Chadema, ndani ya miezi miwili anataka Makamu Mwenyekiti aliyemkuta achunguzwe na kuondolewa.
Huyo ndiye Selasini kwenye safari ya siasa ndani ya vyama, ni kirusi, alitumwa kuimaliza NCCR-Mageuzi katumwa tena kuimaliza Chadema.
Afukuzwe haraka kwenye chama na adhibitiwe kabla hajaleta madhara makubwa, mtanishukuru.