Safari yake imekuwa fupi sana ndani ya Chadema.Kajivua utu wote aliobaki nao tena uzeeni kabisa. Unfortunately hata huko aliko sasa wakishamtumia atatemwa kama makqpi ndio ataijua CCM.
Selasini is nothing ndani ya chama, hana cheo chochote, hana base yeyote, hana platform atakayoitumia zaidi ya kuvizia vichochoro ajirekodi. Sio kiongozi hadi kamati ya chama ikae anafukuzwa na kiongozi wa kizimba tu.huyo mwenyekiti wa chadema taifa mtarajiwa,
hafutiki uanachama wa chadema kirahisi hivyo gentleman. Yaani kwa mihemko, chuki au makasiriko yako useless mwanasiasa nguli wa chadema afutwe uanachama? hiyo itakua ni maajabu aise.
Na huenda viongozi wa chadema watakaothubutu kujaribu kufanya hivyo,
wanataka na kutamani kukigawanya na kukisambaratisha chama hicho, halafu baadae waanze kusingizia na kulaumu wengine![]()
Mimi huwa namuita vipande thelathiniJoseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando, Masumbuko Lwamwai waliwasaliti wenzao wakawafukuza, Mtikila akaanzisha Democratic Party (DP), Fundikira akaanzisha (UMD), wao wakaongeza neno MAGEUZI, kamati ikajigeuza kuwa chama cha siasa kikaitwa NCCR-Mageuzi.
Mwaka 1995 Augustine Mrema alijiunga na chama hicho na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti na Selasini akawa Msaidizi wake.
Mwaka 1997 Selasini akiwa na wenzake kina Marando wakamfukuza Mrema akajiunga na TLP.
Mwaka 2009 Selasini alijiunga na Chadema baada ya kuivuruga NCCR-Mageuzi.
Mwaka 2020 Selasini aliondoka Chadema na kurudi NCCR-Mageuzi.
Mwaka 2020 Selasini alianzisha vurugu ndani ya NCCR-Mageuzi, akishirikiana na Naibu Msajili wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza walifanikiwa kumuondoa James Mbatia kwenye nafasi ya Uenyekiti.
Mwaka 2026 Selasini amerudi Chadema, ndani ya miezi miwili anataka Makamu Mwenyekiti aliyemkuta achunguzwe na kuondolewa.
Huyo ndiye Selasini kwenye safari ya siasa ndani ya vyama, ni kirusi, alitumwa kuimaliza NCCR-Mageuzi katumwa tena kuimaliza Chadema.
Afukuzwe haraka kwenye chama na adhibitiwe kabla hajaleta madhara makubwa, mtanishukuru.
Kumpokea lilikua kosa la kiufundi. Jamaa ana CV ndeefu ya kutokuaminika. Uchafuzi wa mwisho kaufanya very recently akiwa NCCR. Unaanzaje kumwamini mtu wa namna hiyo kumpa uanachama? Na sasahivi wakikurupuka kumfukuza atawasumbua mbele ya vyombo vya sheria ile mbaya.Mkuu, CHADEMA kumpokea sidhani kama walifanya kosa. Ila watakuwa wamefanya kosa sana kama walimrudisha kundini bila kumpa muda wa uangalizi. Sasa hivi anatakiwa afukuzwe haraka sana kwa sababu ameshaonyesha hana nidhamu.
Nakubaliana na wewe. Zee halina aibu kabisa. Mimi sikutarajia lingeweza kujidhalilisha namna hii! Sijui ni maisha yamekuwa magumu linatafuta fedha au ni nini!Kumpokea lilikua kosa la kiufundi. Jamaa ana CV ndeefu ya kutokuaminika. Uchafuzi wa mwisho kaufanya very recently akiwa NCCR. Unaanzaje kumwamini mtu wa namna hiyo kumpa uanachama? Na sasahivi wakikurupuka kumfukuza atawasumbua mbele ya vyombo vya sheria ile mbaya.
subiri maamuzi ya mkutano wa baraza kuu litakalovurugana septermber 15, na ndipo utanielewa vizuri gentleman,Selasini is nothing ndani ya chama, hana cheo chochote, hana base yeyote, hana platform atakayoitumia zaidi ya kuvizia vichochoro ajirekodi. Sio kiongozi hadi kamati ya chama ikae anafukuzwa na kiongozi wa kizimba tu.

Selasini hana wadhifa hata wa kusogelea geti la baraza kuu, he's nothing.subiri maamuzi ya mkutano wa baraza kuu litakalovurugana septermber 15, na ndipo utanielewa vizuri gentleman,
huna haja ya kumbwelambwela na kujipiga kifua sana jukwaani kwa sasa![]()
In fact ataalikwa kama special guest,Selasini hana wadhifa hata wa kusogelea geti la baraza kuu, he's nothing.

Huwezi kumuondoa dr Lamwai kwenye vurugu za NCCR Mageuzi.Nakumbuka miaka hiyo akiwa kama PR na MC wa mikutano yote ya NCCR. By the way,mwondoe kaka yake Dr Masumbuko Lamwai kwenye hiyo list,Lamwai kifo chake kimechangiwa na kufilisiwa mali na Serikali ya Mkapa na Kikwete kisa tuu ni mpinzani.
Huyo shoga mwenzio ameshindwa kabula hata kazi hajaianza ogopa CHADEMA MAGUFULI ALIAHIDI ATAIUWA AKAFA YEYE NAWEWE JICHUNGEgentleman,
mim ni visionary politician of these modern times,
I have capacity and capability to detect and see the political issues coming from far,
sasa nyinyi mnapambana na kunitukana tu huku aibu ikiwapata wenyewe![]()