Unadhani ni kwanini wasomi wengi nchini Tanzania, husita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni tofauti na yao,

ni kipi hasa huwafanya wasomi hao wa Tanzania kusita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwasababu mtandao wenu wa majambazi unawawinda wapinzani utadhani ni digidigi.
 
Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni tofauti na yao,

ni kipi hasa huwafanya wasomi hao wa Tanzania kusita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ni sehemu hatari, nguvu za giza zinatumika. Wasiokuwa na elimu ndio wanaweza hiyo kazi.
 
Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni tofauti na yao,

ni kipi hasa huwafanya wasomi hao wa Tanzania kusita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
umeuliza swali zuri sana na rahisi kulijibu.

Ni kwasababu wanaiogopa sana ccm isiwakwamishe kwenye kupata ajira au kwenye kuendesha shughuli zao za kiuchumi.

Pia mtu msomi wa kweli hayupo tayari kupangiwa nini cha kuongea au nini cha kufanya, maana ndani ya ccm huwezi kufanya kazi kulingana na uelewa wako bali unapangiwa cha kufanya.
 
ok.🐒
 
Kuna systemic barriers kubwa sana Tanzania inayomfanya msomi ashindwe kufanya siasa huru.
 
Hakuna msomi anayejitambua ataenda kuongozwa na kilaza mpenda matusi kama Sugu. Wasomi wanaotambua thamani zao sio rahisi kukubali kuwa chini ya kina Lema au Heche ambao adui wao mkuu ni elimu.
 
Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni tofauti na yao,

ni kipi hasa huwafanya wasomi hao wa Tanzania kusita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unafikiri hao wasomi ni wanachama wa CCM kwa sababu sio wanachama wa vyama vya upinzani? Mimi ni msomi, lakini siko CCM wala upinzani. Sasa sijui conclusion yako umeipata wapi?

Na usisahau wasomi wengi walio CCM waliingia huko kama hongo; Wasira, Kitilya, Kafulira, Katambi nk, wote hawa walikuwa wasomi wanachama wa vyama vya upinzani.
 
Fursa nyingi chama tawala km vyeo, mikopo,elimu zaidi, safari nje nchi na marupurupu, ubunge,uhuru wa kufanya unachotaka,usalama na ushawishi
 
Back
Top Bottom