Unadhani ni kwanini wasomi wengi nchini Tanzania, husita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani?

Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni tofauti na yao,

ni kipi hasa huwafanya wasomi hao wa Tanzania kusita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wanaogopa kutekwa, kubambikiwa kesi, kufirwa na akina Mafwele na kuuawa. Back in day kabla ya systems za kutekana, kunajisiana na kuuana I mean before the creation of Mafwele gang wasomi walikuwa wakijiunga pasina hofu.
 
WAITARA CHADEMA KATAMBI CHADEMA KAFULILA CHADEMA MATIKO CHADEMA MASHINJI CHADEMA J. MTATIRO CUF NASARY AKA DOGO JANJA CHADEMA HAWA NI WACHACHE NIMEWAKUMBUKA HALAKA HALAKA UKITAKA NIKUONGEZEA WASOMI HAO WAPO CCM KWA MASILAHI ILA HATA ITIKADI YA CCM HAWAIJUI.
 
Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni tofauti na yao,

ni kipi hasa huwafanya wasomi hao wa Tanzania kusita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wanaogopa kuharibiwa taaluma zao na polisi. Ukiwa mwanataaluma ukajiunga na e.g. CHADEMA unaweza kujikuta umeandamwa na serikali na hata kuharibiwa shughuli zako ndio maana wasomi wengi wanabaki kuwa wanachama wa CDM kwa siri.
 
Unafikiri hao wasomi ni wanachama wa CCM kwa sababu sio wanachama wa vyama vya upinzani? Mimi ni msomi, lakini siko CCM wala upinzani. Sasa sijui conclusion yako umeipata wapi?

Na usisahau wasomi wengi walio CCM waliingia huko kama hongo; Wasira, Kitilya, Kafulira, Katambi nk, wote hawa walikuwa wasomi wanachama wa vyama vya upinzani.
ni vema sasa gentleman, ukawaeleza wadau wa Jf, kulikoni wasomi wengi ikiwa ni pamoja na wewe ambae unajaribu kuwapiga kamba wadau wa Jf eti hauko kwenye chama chochote cha siasa nchini, licha ya kua tone ya comments na nyuzi zako hueleza kila kitu,

Ni wazi wasomi wachache ndio walioanzisha vyama vya siasa vya upinzani nchini, lakini wasomi wengi pia hawapendi kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani, why?🐒
 
Mie siko chama chochote, na kama comments zangu nyingi unaona zimelalia kwenye chama kimoja basi ni kwa sababu chama hicho ndio kiko exposed katika kufanya makosa kwa sababu ya wigo wake wa utendaji. Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.

Na siko kwenye chama chochote kwa sababu sitaki kufungamana na upande wowote. Upande wangu ni Tanzania na nitamuunga mkono mtu yeyote ambae ataonyesha wazi anasimamia maslahi ya Tanzania
 
Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni tofauti na yao,

ni kipi hasa huwafanya wasomi hao wa Tanzania kusita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wanaogopa kutekwa,full stop!
 
Wanaogopa kuharibiwa taaluma zao na polisi. Ukiwa mwanataaluma ukajiunga na e.g. CHADEMA unaweza kujikuta umeandamwa na serikali na hata kuharibiwa shughuli zako ndio maana wasomi wengi wanabaki kuwa wanachama wa CDM kwa siri.
Mfano,Kaijage wa UDOM!
 
Back
Top Bottom