THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and Enemies,
Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu.
Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia
Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua chini ya mwamvuli wa chama chake,je msajili wa vyama vya siasa haioni kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukifuta chama hicho kwa maslahi makubwa ya taifa letu?