Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kauli za chuki zinaweza kuzua taharuki, kuvunja mshikamano wa kitaifa na kugeuza tofauti za kisiasa kuwa migogoro ya kijamii. Zinapolenga watu kwa misingi ya kabila, dini, eneo wanakotoka au itikadi zao za kisiasa, hujenga mazingira ya kutokuaminiana, uhasama na mgawanyiko miongoni mwa wananchi.
Soma Kwanini? Naichukia siasa, kupandikiza chuki mpaka kusababisha mauaji makubwa
Kabla na wakati wa mauaji ya halaiki ya Rwanda 1994, baadhi ya wanasiasa na vituo vya redio vilitumia lugha ya chuki dhidi ya Watutsi, wakiwaita "mende" na "maadui wa taifa". Kauli hizo cha chuki zilichochea vurugu zilizosababisha mauaji takriban watu 800,000 ya kipindi kifupi.
Historia ya dunia imeonyesha kuwa migogoro mingi mikubwa haikuanza kwa silaha, bali kwa maneno yaliyopandikiza chuki na kuwafanya watu waone wenzao kama maadui. Ndiyo maana viongozi wa kisiasa wanapaswa kutumia majukwaa yao kuhamasisha umoja, uvumilivu na kuheshimu tofauti za maoni, badala ya kutumia lugha inayoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa taifa.
Pia soma
Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi