carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, maombi ya kutaka CHADEMA ipigwe 'STOP' TENA KUFANYA SIASA yametupiliwa mbali na Mahakama
Maombi hayo yaliletwa Mahakamani hapo na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho.
Awali tarehe 28 Mei 2026 Mahakama Kuu ilitupilia mbali kesi kama hiyo iliyofunguliwa na Said Issa , Rashid na Maulida Anna Komu (Marehemu) likiwa na madai hayo hayo.
Katika uamuzi wake, uliotolewa na Jaji Awamu Mbagwa leo, Alhamisi Oktoba 22.2026, Mahakama imesema haioni sababu za msingi za kuzuia shughuli za kisiasa kwaajili ya kesi.
Soma Pia:

- Said Issa Mohamed aishitaki tena Chadema. Anataka izuiwe kufanya siasa
- Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026