Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake.
Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM.
Basi na ikawe heri nawatakia maisha marefu sote tushiriki kuyaishi yote...
Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda.
Haha baadhi ya mambo yaliyomfanya asishinde ni
1.Nchi yake kuruhusu ofisi za RFS za waasi kuwepo huko kenya
Src...
Siasa ni Nini?
Siasa ni mchakato wa kuongoza jamii kupitia maamuzi, utungaji wa sheria, na utekelezaji wa sera. Inahusisha watu binafsi na makundi yanayoshindania mamlaka na ushawishi juu ya rasilimali, utawala, na masuala ya umma.
Kiini cha siasa ni uwakilishi na harakati za kushinda mamlaka...
Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini?
Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
1. John Kijazi
2. John Magufuli
3. John Heche
4. John Mnyika
5.John Kaijage
6. John Kitwanga
7.............
Aliyepata hasara ni John Babptist tu.
Kama una akina john wengine wataje
Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum.
Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum tuache wenye uwezo wa siasa wazifanye na wawanie nafasi na washinde na sio jinsia kutumika kama...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi uliofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo jijini...
Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
"Nasemaje tupige siasa tuzodowane ila kwenye akili. Kumbuka ulinzi ni mkali, haijapata kutokea. Sio mipakani, sio kwenye mitaa, sio kwenye taasisi. Bwana weee, usijichanganye, utakutana na bibi na bwana. Mwana, utalia tena, sali. Wasikubambe unahujumu uchumi au una panga mambo maovu. Ukorudi...
Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha.
Mpo Vitani huku mkijua anayewakimbizeni ana Nguvu ya Ziada kutoka kwa Mmiliki wa Chama chenye Rangi zinazofanana nao na...
Yalianza kama masikhara ila sasa tuvumilie kuvuna matunda yake.
Kuanguka kwa Tanzania ni suala lililochukua muda kidogo. Tuliopata nafasi ya kuonya, tulionya ili kulikomboa Taifa ila hakuna yaliyofanyika na matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo.
Ilianza kwa kuanza kutoa nafasi za utendaji...
Wakuu ,Nimefuatilia hotuba za Mh Wasira anapokuwa katika majukwaa nikajiuliza je amechelewa kuwa Makamu Mwenyekiti??Je ni kwamba CCM hawana mtu mwingine katika kushika wadhifa huu ambaye bado anaweza kwenda na Kasi? Kama aliyekuwepo ana miaka 70+ Na akaona sasa niwakati wa kupumzika ila...
👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi.
source...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura.
Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja.
Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya...
Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule
Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA.. Kutwa kucha ni CHADEMA midomoni na akilini mwao
CCM ni kama kama mgonjwa aliye chumba cha mahututi...
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo.
Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine.
Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.