siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. technically

    Acheni siasa za mpira, ukubwa wa Mamelod ni upi?

    Ukubwa wa mamelod ni upi? Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa? Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku? Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au? Mamelodi kazidiwa mafanikio na Al ahly Wydad...
  2. ubongokid

    Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
  3. engineerafrican

    Nini tathmini ya matokeo ya vyama vya siasa kuandamana kupinga hali ngumu ya maisha?

    Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha? Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii? Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge? Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
  4. R

    Kuelekea uchaguzi, vyama vya siasa viwe vitatu pekee

    Salaam, Shalom. Ili kudhibiti matumizi mabaya ya pesa kwenye uchaguzi, pia Ili kuhakikisha vyama vinagharimia ipasavyo wagombea wao, na Ili kuondoa ubaguzi Kwa wagombea wasio njema kiuchumi, nashauri yafuatayo; 1. Vyama vya siasa nchini viwe vitatu pekee. 2. Vyama vingine vifutwe au...
  5. ndege JOHN

    Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

    1.vina Wana chama wengi 2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa 3.vina matawi kila sehemu kote vijijini 4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji 5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake 6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na...
  6. Suley2019

    Profesa Lipumba: Siasa zetu ni za kumuunga mkono mtu na siyo sera

    Profesa Lipumba: Siasa zetu ni za kumuunga mkono mtu na siyo sera
  7. JamiiCheck

    AFP: Upotoshaji wa taarifa wakati wa Uchaguzi huweza kumhusu Mgombea, Chama cha Siasa au Mfumo Mzima wa Uchaguzi

    Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo. Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea hulenga kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu Mgombea fulani. Upotoshaji wa Chama cha Siasa hukusudia...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya

    Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita Mhe. Nicodemus Maganga amewataka wananchi wa Kata ya Isebya kujiepusha na maneno ya uchonganishi yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Mhe. Maganga ametoa wito...
  9. MSAGA SUMU

    Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

    Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais. Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri. Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa. Shamba...
  10. Aramun

    NHIF tofautisheni Sayansi na Siasa, Serikali ingilieni kati hili jambo

    NHIF hizi mnazofanya ni siasa kwenye uhai wa watanzania. Imagine mtu unaamua kujikamua unalipa ki NHIF chako cha laki 7, lakini unapoenda hospitali unaanza kuambiwa hiki NHIF hawana coverage yake, tena vitu basic kama sindano?, this is totaly unacceptable. Serikali ni vizuri mkaingilia hili...
  11. Chachu Ombara

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Siasa za CCM ni kama Maisha ya Nyoka, kujichubua na kutaga mayai

    SIASA ZA SISIEMU NI KAMA MAISHA YA NYOKA, KUJICHUBUA NA KUTAGA MAYAI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Aliyesema SISIEMU itadumu daima hakusema kwa bahati mbaya. Alisema huku akijua kuwa Ukoloni upo na mpaka leo unadumu. Ili SISIEMU ife itahitaji Ukoloni nao ufe. Nazungumzia Ukoloni wa wale...
  13. JF Toons

    Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  14. DMmasi

    Siasa na michezo

    Salaam waungwana, Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wenye mamlaka kuingilia michezo mbalimbali. Sote tutakubaliana tangu 2015 tunayo aina ya viongozi ambao katika kila jambo wanaelekeza sifa na shukrani kwa raiya namba moja. Juzi wakati nasikiliza michezo waziri aliyepo kwenye hii wizara...
Back
Top Bottom