Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
📅 03 Mei, 2024
📍 Mwanza
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewasili Uwanja wa Ndege Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 03 Mei, 2024 kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Wilaya ya Sengerema Ndg. Jane James Msoga.
Ndg Jane alifariki tarehe 01 Mei, 2024...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field Marshall anayerejea kutoka uwanja wa vita na mapambano.
Baada ya kuwa na utaratibu wa kukutana na...
Wakati Mkapa - CCM
Wakti wa JK - CHADEMA
Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM
wakati wa Samia - Mfuasi wa CHADEMA
Anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia kutumika siasa vibaya.
Mambo kama ulaya hakuna mikutano mpaka wakati wa uchaguzi.
Na
Fredrick Nwaka
Tanzania ni nchi inayosifiwa Afrika na duniani kote kwa utulivu wa kisiasa, ikilinganishwa na mataifa jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na DRC ambazo zote zimepitia majaribu makubwa ya kisiasa ambayo kama kusingechukuliwa hatua za makusudi kumaliza majaribu...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.
Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER.
Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.
Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi.
=============
Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba.
Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
Vetting ya viongozi wa Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara inafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii ni sehemu ya mfumo wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulioundwa mwaka 1964. Vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni mfumo wetu wa uongozi.
Mfumo wa uongozi wa nchi tulionao, hautoi nafasi ya watu kuwa huru na mawazo...
Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji..
Japo Kuna watu makini Ndani ya Vijana hao wa chama Siwezi kukataa kuna watu au Vijana makini na Wanahoja...
Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo?
Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo.
Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...
sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi.
ambazo, ni pamoja na kueneza itikadi, sera, mipango na mikakati yake kwa wananchi, kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyimbo nzuri zenye ujumbe, sauti, midundo na maneno ya vukutia kuskia, kueleweka na kuimbika...
Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
Neno hili inatokana na senator wa mmarekani U.S. Sen. Joseph McCarthy aliyejipambanua kuupinga Ukomunist ndani ya USA kwa kutumia mbinu za kuwachafua wenzake kwa kigezo cha kuupinga Ukomunist ambao ilikuwa sumu kwa Wamarekani. Akijua kuwa wamarekani hawapendi Ukomunist, basi alitumia ukomunist...
Kumekuwa na tabia kwa serikali kutengua uteuzi wa viongozi wa umma kwa tuhuma za kuhusika katika vitendo vya kihalifu.
Ila kwa bahati mbaya utenguzi huu huwa unatumika kama mbadala wa kutokuwashitaki viongozi hawa katika mahakama kulingana na makosa ya jinai waliyoyafanya.
Kwa misingi...
Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi.
Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi.
Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania
ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power.
hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
Ukweli usemwe,
Kuanzia katibu mkuu, Naibu, Mwenezi wanaweza kuwa walifanya vizuri kwenye siasa nyakati zao lakini kwa sasa hapana.
Historia inajirudia inanikumbusha Sekretarieti ya Katibu Mkuu Mzee Mkama na hii ya sasa wanafanana sana na hawana tofauti.
Hadi sasa CCM imeingia choo cha...
Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.