siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Nyendo

    Pre GE2025 Barbara: Wapambe na Machawa wanaendesha siasa za Tanzania, watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu

    Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania. Je, ni upi mtazamo au maoni yako juu ya alichosema? Atakuwa anawalenga watu gani wanaolipwa kuchafua au...
  2. D

    Ili nchi iendelee inahitani siasa safi

    Nadhani kila mtu anaona kwa sasa Tanzania kwamba kuna siasa safi na hii ndio inawavutia wawekezaji kila kona ya ncho tofauti na kipindi cha jpm ambapo siasa ilikuwa ni vita. Hongera mama kuituliza tanzania dhidi ya fujo ambazo zingekuwepo baada ya siasa kuzimwa. Binadamu naturally ameumbwa...
  3. chiembe

    Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Watanzania wakienda kwenye mikutano ya sîasa usidhani wamefuata kûsikia jàmbo la maana. Hufuata vijembe vya Mwijaku na Babalevo

    Wakuu mpo! Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus. Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa mtindo wa Mwijaku na Babalevo. Yaani mambo ya ajabuajabu. Maûtani yasiyo na kichwa wala miguu...
  5. Nyanda Banka

    Siasa ni maisha

    Ni ukweli kuwa baadhi ya vijana wengi nchini kutokana na ukosefu wa ajira, wamepelekea kuwa wafuasi wa baadhi ya vyama vya siasa kwa lengo la kutarajia kupata ajira
  6. michael masala

    SoC04 Je, kama siasa ni mchezo kwanini unaendesha taifa?

    JE SIASA MCHEZO MCHAFU? 1. Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri 5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la...
  7. Cute Wife

    Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD?

    Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo? Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari! Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi...
  8. Hismastersvoice

    CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

    Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
  9. passion_amo1

    Kwa wataalamu wa siasa za kimataifa mtusaidie

    Wakuu Heshima mbele. Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi kutoingia nchini humo kwa tuhuma za ufisadi na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa ya Wizara ya Mambo...
  10. Suley2019

    Pre GE2025 Ado Shaibu: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa

    Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
  11. R

    SoC04 Kuboresha demokrasia huru na haki katika siasa

    III Tanzania yetu kufikia nchi ya ahadi inahitaji kuimarika katika ngazi ya demokrasia huru na kupunguza vitendo vinavyochochea ubaguzi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali kama vile; 1. Uchaguzi kuwa wa haki na kweli Viongozi wanaopatikana kwa Uchaguzi wanatakiwa kuwa wale walochaguliwa na...
  12. I

    Medani za Siasa: Nyasa tunaenda na nani?

    Nafuatilia kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star Tv, kuna mdahalo mkali katika ya Sugu vs Msigwa. Nimejifunza yafuatayo: 1. Upatikanaji wa Viongozi Moja ya vyama vyenye hazina ya viongozi bora ni vyama vya upinzani. 2. Uwezo wa kujieleza na kujibu hoja Viongozi kutoka vyama vya...
  13. K

    Msuya na Warioba: Tatizo la dira 2050 ni siasa

    Mawaziri wazee wetu wastaafu wote Warioba na Msuya wamesema tatizo kubwa la Dira yetu ya taifa ni kutokuwa na mfumo wa siasa wa kueleweka. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na mifumo ya vyama vingi lakini wakati huohuo serikali hiyo hiyo ndiyo wanaongoza kuharibu chaguzi zetu na kusumisha mfumo wa...
  14. A

    KERO Demokrasia, Rushwa na ushiriki wa chama cha siasa kwenye serikali ya wanafunzi - kuna shida Mzumbe!

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro). Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na Katiba ya Serikali ya wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe haviruhusu Shughuli ama kufungamana na vyama vya...
  15. Cute Wife

    Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

    Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani! Kwamba alokuwa anaongea kwa...
  16. P

    Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  17. BARD AI

    Waziri wa Ulinzi: JWTZ si sehemu ya Siasa, ni taasisi mahsusi kwa kazi mahsusi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
  18. J

    SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  19. J

    Pre GE2025 Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!

    Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais! Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani. Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂 Sabato...
  20. chiembe

    Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki. Hii itafanya watu wakifika...
Back
Top Bottom