Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.
Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu.
Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
Sina time ya kusalimia
Wengi tunadhani UMASKINI ni Ukosefu wa Hela...WALA!
Hela zipo teleeee tena Bwerere,ni wewe tu ndio unapishana nazo!
UMASKINI ni UKOSEFU WA MAWAZO(Ideas)...Ukiwa Huna IDEAS Hela haiwezi kuwa rafiki yako KAMWE! Ukienda Benki kuomba mkopo watakuuliza UNA WAZO GANI unataka...
Habari zenu wakuu,
Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo...
Imagine mtu amekuomba umtumie pesa. Wakati huo huna au unayo ila ilikuwa na kazi nyingine, utajiminya au utahangaika mpaka umtumie, lakini ikifika yeye hafanyi hata effort ya kukujulisha kwamba amepokea.
Unaweza kubaki na wasiwasi, ukidhani labda pesa haijafika, kuna tatizo la mtandao au...
WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo.
Hii ni mara ya pili...
Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo
Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2
Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye...
Naona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi..
Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono.
Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka
Naona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee
Mambo...
Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa.
💰 Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge
Ingawa serikali haijaweka...
Wanabodi,
Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito
https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf
Ni kama ametangaza vita.
Mzee Pasco
Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.
Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu.
Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa.
Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee.. Mwamwamwamwa..!
Swali ni Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣.
Kwanza jini Makata...
Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani
Hii haiwezekani.
Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.