Umeichukulia personal sana bwasheeNdio, kushindwa kutofautisha chai na kahawa ni IQ ya Panzi.
Waambie wakakununulie.Ndio, hawana majani ya chai.
Ndio, kushindwa kutofautisha chai na kahawa ni IQ ya Panzi.
Mbulu kuna shida gani kwani?Wewe uko Mbulu na huo ndio ukweli.......
😁Sasa ndio ifanye watanzania wawe na iq ya panzi?
Wana utamaduni aliosema mleta mada wa maziwa na kahawa. Kwani wana shida yoyote?Mbulu kuna shida gani kwani?
Hahaha hapana , nimeona tu jina yoda nimekaa kama la mbulu 😅 nikaona tuliwaza kwa ufanano 😅Wana utamaduni aliosema mleta mada wa maziwa na kahawa. Kwani wana shida yoyote?
Y- Yaeda chiniHahaha hapana , nimeona tu jina yoda nimekaa kama la mbulu 😅 nikaona tuliwaza kwa ufanano 😅
Hahaha ayalagaya napajua🤣Y- Yaeda chini
O- Orbesh
D- Dongobeshi
A- Ayalagaya.