Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Ayalagaya iko Babati. Kule Yaeda chini ndiko wanapatikana kina Chaba na DudukweHahaha ayalagaya napajuaš¤£
Yoda ni Muhadzabe š
Ayalagaya iko Babati. Kule Yaeda chini ndiko wanapatikana kina Chaba na DudukweHahaha ayalagaya napajuaš¤£
Nishapata appetite ya kula kitimoto choma.Ukiwa China au Korea, ukiagiza nyama kwa kusema tu unataka nyama, unaletewa kitimoto safiiii....