Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!
Wamepanga lazima wamkute na hatia.
Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.
Option 2 - Ahukumiwe...
Katika ukurasa 203,"My Life,My Purpose"(2019) anasema:
"Mwl Nyerere aliniambia 1995 -'Usifanye haraka kumuua chama. Chama ndio nyumba'. Mimi nilitaka kuwa Rais wa kitaalam, sio wa chama. Nikaacha CCM iende yenyewe. Matokeo yake mafisadi wakajenga ngome ndani ya chama" Hayati Benjamini Mkapa.
Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline.
Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
Wakuu, niaje?
Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa:
Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu!
Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na...
TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa.
Ila mimi...
Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI....
Malume
Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC.
Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama...
Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria.
Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba
sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe.
Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru
Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani:
Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
Land Rover wanaleta gari mpya kwenye familia yao ya Range Rover, anaitwa Range Rover GT (Range Rover GT).
Guess what? Ni full EV, wakati Hybrid itakuja baadae.
Hii ndio Range Rover ya kwanza kua non-SUV.
Matajiri tuandae zaidi ya $100,000/= base model na itafika hadi $200,000/=
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC.
Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kufanya
kufanya kazi
mbaya
mganga
moshi
mtumishi
raia
sindano
sio
zahanati
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa.
Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.
Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.